Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana kibongo bongo, Timu zenye unafuu na zenye kumfanya ajitangaze kimataifa na akue zaidi ni hizo mbili.Naunga hii hoja yako.
Sure!! Kwasasa Prosperous yake kwa Tz ipo Kati ya Hivyo vilabu viwili.Maana kibongo bongo, Timu zenye unafuu na zenye kumfanya ajitangaze kimataifa na akue zaidi ni hizo mbili.
Japo pia Azamu lakin hapo Azamu sio pa kuongelea sana tunapajua.
Ngoja tusubiri tuone itaishaje
Haya rudi kwenye swali, huwa mnatumia akili gani kufikiriNani umeona amewahi kufia Yanga?. Ungejua hata Yanga hatakiwi kabisa na gundu zake
Siwezi kujibu swali la kipuuzi kama hilo. Hilo swali linaweza likawa ni muhimu kwa watoto wenzio huko mikianiHaya rudi kwenye swali, huwa mnatumia akili gani kufikiri
wachezaji wa Azam wanaishi mbande, kiponza, mipeko, rufu, mbanga kwaru, machimbo, kama nyumba inajengwa moja ya maeneo tajwa ntaamini.Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili.
Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo Oysterbay karibu na kwa makamo wa raisi.
Hatimae dogo ataenda kulala akipulizwa na kipupwe cha indian ocean.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba wachezaji wa Azam wanaishi huko Temeke tyuuh?? Hapanaaawachezaji wa Azam wanaishi mbande, kiponza, mipeko, rufu, mbanga kwaru, machimbo, kama nyumba inajengwa moja ya maeneo tajwa ntaamini.