Kwa jinsi mnavyofanya kukebehi kwa kula ugali na sukari, tena stendi ya magari Buguruni, hakika mmemfanya kuwa aduiFaisal sio adui wa yanga ila ni opponent wa yanga kwenye kesi alizoshindwa tena mara 2.
Sawa atakuta maelekezo yake kwa mlinzi ya namna anayotakiwa kufanya ili avunje mkataba.Sawaa atakuja kesho saa 3 asubuhi ofisi za GSM 🤣😂🤣
Msuva alikuwa na kesi ya madai ya msharaha na signing fee ambayo wydad hawakumalizia kulipa ndo maana akagoma kurudi kuchezea ndo maana kesi yake ilikuwa rahisi na straight forward lakini Fei hakuna anachodai Yanga anataka tu kuvunja mkataba kwa kujisikia tuMsuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Yusuf bakhresaNani yupo nyuma ya Feisal?
Labda ana mawazo na anaona hawezi tena kucheza mpira!... Fei hakuna anachodai Yanga anataka tu kuvunja mkataba kwa kujisikia tu
Mchezaji kaonesha nia ya kutofurahishwa kuendelea kucheza hapo, But you still hold him as hostageFaisal sio adui wa yanga ila ni opponent wa yanga kwenye kesi alizoshindwa tena mara 2.
Tumekula ugali na sukari hadharani kabisa ili aone kuwa ugali na sukari ni mlo mzuri hauna shida.Kwa jinsi mnavyofanya kukebehi kwa kula ugali na sukari, tena stendi ya magari Buguruni, hakika mmemfanya kuwa adui
faisal afate utaratibu, Yanga ni taasisi sio uchochoro kama ule aliokacha Dejan mzungu koko.Mchezaji kaonesha nia ya kutofurahishwa kuendelea kucheza hapo, But you still hold him as hostage
Hata alizofanya sasa ni za kihuni ila kibusara tff itamrudisha Yanga wakae maana ndio waajiri wake,baada ya hapo Yanga watamuambia value ya kuvunja mkataba bao ipo kwenye mkataba,atalipa baada ya hapo atakua huru na aende atakakoTaratibu zipi? Zile alizozifanya ni za kiuni, sahihi ni zipi? Anatakiwa kufanya nn?
Wala Yanga hawana haja nae tena. Wanachohitaji ni kwamba mlango ule alioutumia kuingia Yanga ndiyo huo huo autumie kutoka/kuvunja mkataba.Yanga buana [emoji5][emoji5][emoji5]
Kwanini wasimuache aende!? Au ndio Ile roho mbaya ya tukose wote[emoji15]
Dejan aliondika kwasababu Simba hawakutimiza matakwa ya Kim katana kama kumpa nyumba binafsi na gari lakini Faisal hakuna asichotimiziwa kwenye mkataba anataka kuvunjwa kwasababu za nje ya kimkatabaView attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Hata kuvunja ndoa ina utaratibu wake huwezi kuamka tu kama zuzu kesho yake ukavunje ndoa, tumieni akiliInavunjwa mikataba ya ndoa sembuse hii ya mipira!!
Walivunjiwa mkataba kwa kukaa mezani pande zote mbili kisha kuafikiana kwa pamoja. Hao wangegoma kuvunjiwa Yanga wasingeweza kuvunja. Kama walivyogoma Akpan na Okwambona Makambo na Bigirimana walivunjiwa kirahisi tu katikati ya msimu?
Angeweza kurudi akamalizia mkataba au hata walau msimu kiunyonge, lakini kwa kebehi zile, anaona aibu akienda halafu akutane na li Morrison likaanza kumkumbushia, ha ha haa hata mimi nisingerudiTumekula ugali na sukari hadharani kabisa ili aone kuwa ugali na sukari ni mlo mzuri hauna shida.
Haha morison anaweza kuja na ugali na sukari kwenye mazoeziAngeweza kurudi akamalizia kataba au hata walau msimu kiunyonge, lakini kwa kebehi zile, anaona aibu akienda halafu akutane na li Morrison likaanza kumkumbushia, ha ha haa hata mimi nisingerudi
Kwahiyo kuonesha kwake kutofurahishwa ndio Yanga imwachie kizembe tu bila kufuatwa kwa utaratibu na sheria?Mchezaji kaonesha nia ya kutofurahishwa kuendelea kucheza hapo, But you still hold him as hostage
Mjinga yule hashindwi kitu, angetafuta tu ugali, ameshajua chocho nyingi za uswaziHaha morison anaweza kuja na ugali na sukari kwenye mazoezi
Mtu amerudisha pesa za usajili na mshahara miezi mitatu lakini bado haijatosha kufanya mkataba uwe terminatedfaisal afate utaratibu, Yanga ni taasisi sio uchochoro kama ule aliokacha Dejan mzungu koko.
Aje ofisi za Yanga kesho mapema sana mlinzi pale atampa maelekezo ya namna ya kuvunja mkataba.Taratibu zipi? Zile alizozifanya ni za kiuni, sahihi ni zipi? Anatakiwa kufanya nn?
Utaratibu gani huo ambao unatakiwa kufuatwa?Kwahiyo kuonesha kwake kutofurahishwa ndio Yanga imwachie kizembe tu bila kufuatwa kwa utaratibu na sheria?