Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Msuva alikuwa na kesi ya madai ya msharaha na signing fee ambayo wydad hawakumalizia kulipa ndo maana akagoma kurudi kuchezea ndo maana kesi yake ilikuwa rahisi na straight forward lakini Fei hakuna anachodai Yanga anataka tu kuvunja mkataba kwa kujisikia tu
 
Kwa jinsi mnavyofanya kukebehi kwa kula ugali na sukari, tena stendi ya magari Buguruni, hakika mmemfanya kuwa adui
Tumekula ugali na sukari hadharani kabisa ili aone kuwa ugali na sukari ni mlo mzuri hauna shida.
 
Taratibu zipi? Zile alizozifanya ni za kiuni, sahihi ni zipi? Anatakiwa kufanya nn?
Hata alizofanya sasa ni za kihuni ila kibusara tff itamrudisha Yanga wakae maana ndio waajiri wake,baada ya hapo Yanga watamuambia value ya kuvunja mkataba bao ipo kwenye mkataba,atalipa baada ya hapo atakua huru na aende atakako
 
Yanga buana [emoji5][emoji5][emoji5]

Kwanini wasimuache aende!? Au ndio Ile roho mbaya ya tukose wote[emoji15]
Wala Yanga hawana haja nae tena. Wanachohitaji ni kwamba mlango ule alioutumia kuingia Yanga ndiyo huo huo autumie kutoka/kuvunja mkataba.

Kwanini anag'ang'ania shortcut? Afuate utaratibu full stop.
 
View attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Dejan aliondika kwasababu Simba hawakutimiza matakwa ya Kim katana kama kumpa nyumba binafsi na gari lakini Faisal hakuna asichotimiziwa kwenye mkataba anataka kuvunjwa kwasababu za nje ya kimkataba
 
mbona Makambo na Bigirimana walivunjiwa kirahisi tu katikati ya msimu?
Walivunjiwa mkataba kwa kukaa mezani pande zote mbili kisha kuafikiana kwa pamoja. Hao wangegoma kuvunjiwa Yanga wasingeweza kuvunja. Kama walivyogoma Akpan na Okwa
 
Angeweza kurudi akamalizia kataba au hata walau msimu kiunyonge, lakini kwa kebehi zile, anaona aibu akienda halafu akutane na li Morrison likaanza kumkumbushia, ha ha haa hata mimi nisingerudi
Haha morison anaweza kuja na ugali na sukari kwenye mazoezi
 
Mchezaji kaonesha nia ya kutofurahishwa kuendelea kucheza hapo, But you still hold him as hostage
Kwahiyo kuonesha kwake kutofurahishwa ndio Yanga imwachie kizembe tu bila kufuatwa kwa utaratibu na sheria?
 
faisal afate utaratibu, Yanga ni taasisi sio uchochoro kama ule aliokacha Dejan mzungu koko.
Mtu amerudisha pesa za usajili na mshahara miezi mitatu lakini bado haijatosha kufanya mkataba uwe terminated

Utaratibu gani huo ambao kila mkiuzungumzia mnafanya uonekane ni utaratibu mgumu sana na wenye complex zaidi
 
Back
Top Bottom