Wewe unadhani kama utaratibu umefuatwa kwanini kwenye kesi kaambiwa bado ni mchezaji halali wa Yanga? Na kama kaona kuna uonevu kwenye hukumu kwanini hataki kwenda CAS badala yake kaandika tena barua kwenda TFF kuomba kuvunja mkataba na Yanga?Utaratibu gani huo ambao unatakiwa kufuatwa?
Muhusika afike ofisi za yanga apewe utaratibu baada ya hapo atawapa mrejesho.Utaratibu gani huo ambao unatakiwa kufuatwa?
Aambiwe huo utaratibu aondoke zake. Huu utaratibu mbona ni siri kubwa hivi? Kama alikosea si anaambiwa alipokosea na ni nn cha kufanya? asahihishwe kwa kuambiwa ni nn afanye aondoke. Kila siku utaratibu, utaratibu mchezaji hataki kuwepo kikosini. Yanga imwambie wazi, ukitaka kuondoka fanya A,B,C vile ulivyofanya sio sawa kwa sababu A,B,C.
Msuva hakulipwa mshahara na signing feeMsuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Umeelewa lakini, endelezea hapo utoe Raja uweke Wydad. Si unajua Raja ametujeruhi 3-0 na 6-0 ? 🤣Ety raja??? Duuuuuuuuhh Kama hujui kitu Bora ukatulia TU
Jamani eeeh hata sisi hatutaki arudi yena mtuelewe. Kinacho amgaliwa hapa ni mkataba wake na taratibu za uvunjaji wa mkataba.Muda wa kumuacha huyu kijana ndo sasa....zile hela wachukue..
Kwa ilivyofikia hawezi kurudi akawa na amani..
Hawa ndio wanamdanganya huyu dogoMutual agreement sio necessary na hii tena ilielezwa ijumaa sports HQ na wakili
Akijibu hii unitag.Wewe unadhani kama utaratibu umefuatwa kwanini kwenye kesi kaambiwa bado ni mchezaji halali wa Yanga? Na kama kaona kuna uonevu kwenye hukumu kwanini hataki kwenda CAS badala yake kaandika tena barua kwenda TFF kuomba kuvunja mkataba na Yanga?
Kaenda kuomba kuvunja mkataba na Yanga.Sasa Huko TFF Anaenda Kufanya Nn??, Si Aende Yanga Wakamwambie Nn Cha Kufanya Kwani Mkataba Aliingia Na TFF Au Ni Yanga?
Mlete mzunguuuu 🤣😂🤣😂Huyo Dejan hata nyie mlishukuru kuondoka kwake maana ni mzigo.
Aliweka na sababu ambayo iko supported kisheria, mi tu nimesahau ila kama ukisikiliza utanielewaYani mutual agreement sio necessary as per wakili wa kwenye Sports HQ na wewe ukalibeba kama lilivyo???
Kwa taarifa yako hicho ni moja ya kipengele kilichomsababisha Faisal arudi nyumbani akiwa analia baada ya maamuzi halali ya TFF.
Fei anafunga goli Moja baada ya kukupigia tako ngapi?Hakuna anayemtaka Mayele anayefunga goli moja baada ya mechi 8 🤣😂🤣
Yanga imefanya nini hapo nyie mbona mna vichwa vigumu hivyo? Toka hili sakata lianze anayehangaika kwenye maofisi ni nani?Yanga buana [emoji5][emoji5][emoji5]
Kwanini wasimuache aende!? Au ndio Ile roho mbaya ya tukose wote[emoji15]
Pale zuwena Fc mna mchezaji gani anayemfikia mayele anayeweza hata kufunga kamba za viatu za mayeleHakuna anayemtaka Mayele anayefunga goli moja baada ya mechi 8 [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Shangazi kwani kuna kesi aliyowahi kushinda hapa Duniani!Kwani Shangazi nae kesi imemshinda?
Fijirisha ubongo wako. Issue ya Msuva ni tofauti na ya FeiMsuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi