changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Wewe unadhani kama utaratibu umefuatwa kwanini kwenye kesi kaambiwa bado ni mchezaji halali wa Yanga? Na kama kaona kuna uonevu kwenye hukumu kwanini hataki kwenda CAS badala yake kaandika tena barua kwenda TFF kuomba kuvunja mkataba na Yanga?Utaratibu gani huo ambao unatakiwa kufuatwa?