No haliwezi kunichanganya kufanya tathmini kujua kuna ubabaishaji umefanyika kwenye shauri la FeisalNaona hata wewe ulokua unalitetea hili jambo lishaanza kukuchanganya sasa
Kwenye kutafuta haki yako unayohisi umeonewa hakuna swala la gharama kwasababu wapo watu wengi tu wapo bega bega nae ili apate haki yake ukiwemo wewe scars hivyo mtamchangia tu, kama aliweza kurejesha milioni mia moja basi hakosi ela ya kwenda CAS.Mi siamini kwenye hukumu hii ya TFF kama imefanya haki kwa jinsi mwenendo wa hii kesi ulivyokuwa.
Swala la kwanini hajaenda CAS kuna mambo mengi, muda au gharama ya kuendesha kesi (kitu ambacho naamini Yanga ndio wamelichukulia kama weakness ya kuweza kumshinda)
Dogo kachemsha sana hakuingia mkataba na TFF watamrudisha club yake vile amesema ndio mara ya kwanza na hii inaonyesha dogo amedhamilia kwa gharama yyt hayuko tayari kurudi yanga tena ndio jibu hapoFeisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum, Machi 6, 2023 amefika kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha ombi kulitaka Shirikisho hilo kuuvunja mkataba wake na Yanga ikiwa ni siku chache zimepita tangu shauri lake litupiliwe mbali.
Feisal amefika Makao Makuu ya TFF akiwa ameongozana na Mwakilishi wake, Jasmin Razack wakiwa na barua mpya ya kuomba kuvunja mkataba wake na Yanga.
“Waandishi msikurupuke kwenye kusema Feisal kaonewa ama ameshindwa maneno mengi tuwe na uzalendo, ninaomba tuvute subra kwa mara ya kwanza leo, Feisal kaleta ombi lake naimani kama litashughulikiwa nina imani na TFF, chombo pekee kinachoweza kuvunja mkataba wa mchezaji ni TFF,” amesema Jasmin Razack.
Jasmin amewahi kusaidia Wachezaji mbalimbali kwenye migogoro ya kimkataba na klabu zao akiwemo Simon Msuva, Wilfred Bony aliyewahi kucheza Man City na Swansea City na Emmanuel Eboue aliyewahi kucheza Arsenal.
Sema mi nafurahi sana kuona wana Uto wa leo mkiwa mna imani sana na TFFReason ni moja tu, Faisal alichemka na ndiyomaana mawakili wake wanaogopa kwenda CAS wanajua wataangukia pua kwa mara ya 3.
Very soon huyu dogo atakula ugali na magadi.
Hii fungulia thread yake inayojitegemea.Sema mi nafurahi sana kuona wana Uto wa leo mkiwa mna imani sana na TFF
Mmekuwa tofauti na Uto kwa kile kipindi cha shauri la Manara
Wale Uto waliotaka hadi kuandamana kwenda kwa Mama kisa hawaiamini TFF walikuwa ni incredibly stupid sana
Mbona huyo wakili aliyesema hayo hakuchukuliwa na Feisal kwenye marejeo ya kesi? Kwanini akamchukua Fatume Karume? Fatuma Karume alichokiongea baada ya kufanyika marejeo ni kwamba karidhika na mchakato" kwanini hili huliongelei? Na sasa Feisal anaangaika na wakili wa Msuva ili kuvunja mkataba na YangaNimeeleza japo juu
Pengine nawe nikuulize. Kama mawakili wa Feisal hawakuonewa kwanini walisema hawajaridhishwa na maamuzi ya TFF na kwamba haijafanya haki?
All the best.Ndio tumeanza kumsaidia. Hujaona barua za kuvunja mikataba tushazituma TFF au nikutumie kopi.
Roho mbaya unayo wewe apoYanga buana [emoji5][emoji5][emoji5]
Kwanini wasimuache aende!? Au ndio Ile roho mbaya ya tukose wote[emoji15]
Gharama ni swala la kuzingatia labda kama we ndio wale watu wenye spirit ya madeniKwenye kutafuta haki yako unayohisi umeonewa hakuna swala la gharama kwasababu wapo watu wengi tu wapo bega bega nae ili apate haki yake ukiwemo wewe scars hivyo mtamchangia tu, kama aliweza kurejesha milioni mia moja basi hakosi ela ya kwenda CAS.
Swala la muda, mpaka sasa kaishapoteza muda kiasi gani kiasi kwamba ashindwe kuvumilia kupata haki yake CAS? yaani TFF wasiwe watenda haki kwaki halafu asiende mbele akomae tena na hao hao TFF. haiingii akilini hilo
Hii ndio angle ambayo TFF wameitumia kumhujumu FeisalHii fungulia thread yake inayojitegemea.
Vipi mawakili wa Faisal mbona mnaogopa kwenda CAS kudai haki yenu???
Swala la adhabu ni swala la mwajiri wake baada ya kesi kuishaGharama ni swala la kuzingatia labda kama we ndio wale watu wenye spirit ya madeni
Sio kila kitu ambacho unauhakika nacho ni lazima ufanye juu chini kum prove mtu kuwa upo sahihi wakati zipo alternative za wewe kupata hitaji lako bila kufika umbali huo
Labda swali ambalo kila mtu anayekubaliana na maamuzi ya TFF anapaswa kujiuliza ni adhabu gani aliyopewa baada ya kukutwa na hatia?
Hakuna muda aliyoupoteza, kwa msimamo wake jinsi ulivyo basi kucheza Yanga ndio kuzidi kupoteza muda
Malizia sentensi yako vizuri “ hawezi kuwa na uwezo kwa kwenda CAS kwasababu hukumu ya TFF ni halali na anajua atashindwa vibaya”Hii ndio angle ambayo TFF wameitumia kumhujumu Feisal
Wakijua wakimchezesha sindimba hapa Karume hawezi kuwa na uwezo wa kwenda CAS
Hata angechukuliwa angembadilisha nini jaji ambaye alikuwa tayari amejipanga kuamua hivi ilivyokuwa?Mbona huyo wakili aliyesema hayo hakuchukuliwa na Feisal kwenye marejeo ya kesi? Kwanini akamchukua Fatume Karume? Fatuma Karume alichokiongea baada ya kufanyika marejeo ni kwamba karidhika na mchakato" kwanini hili huliongelei? Na sasa Feisal anaangaika na wakili wa Msuva ili kuvunja mkataba na Yanga
Hukumu ingekuwa halali kama ingekuja na adhabuMalizia sentensi yako vizuri “ hawezi kuwa na uwezo kwa kwenda CAS kwasababu hukumu ya TFF ni halali na anajua atashindwa vibaya”
Swala la adhabu linaidhinishwa na mahakama kwa mujibu wa sheria za FIFA na imeset hadi categories za adhabu kulingana na circumstances ya mtuhumiwaSwala la adhabu ni swala la mwajiri wake baada ya kesi kuisha
Sasa kama hawezi ku afford kuendesha kesi CAS ataweza kutoa hiyo pesa ya kuvunja mkataba?No haliwezi kunichanganya kufanya tathmini kujua kuna ubabaishaji umefanyika kwenye shauri la Feisal
Ila nachojua kuwa CAS inapokea kesi nyingi na kuna process nyingi ambazo running cost yake sidhani kama itakuwa affordable kwa Feisal
Pesa ambayo nyinyi mliirudisha?Sasa kama hawezi ku afford kuendesha kesi CAS ataweza kutoa hiyo pesa ya kuvunja mkataba?