Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Wanasheria wa Tanzania pumbavu kabisa, hawana cha kushauri mtu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³ hii issue ni ya hiyari kwa Yanga
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ wanamzungusha ile wapate chochote kitu hivi wewe hujawahi kupanda boda anakupeleka eneo ambalo hulijui kumbe lipo karibu tu. Atakuzungusha wee ili akutajie pesa nyingi
 
We ushangai kua mawakili wa Feisal kila siku wanakuja na jambo jipya?

Kwanini wasisimamie moja wanaloona wapo sahihi
Wasimamie moja hata kama yapo mengi?

Sheria zinasema mchezaji aliyevunja mkataba alipishwe faini na kupewa adhabu ya miezi minne offline

Na adhabu ikiisha hawezi kuwa mchezaji wa hiyo timu

So why Yanga imemrudisha bila kufata utaratibu huo?

Hapo ndio wasiwasi wangu wa hii kesi kufanyika gizani unapokuja, hii kesi ingewekwa open kama ilivyokuwa kwa Morrison basi tungeshuhudia vitu vya ajabu sana

Nadhani ndio sababu TFF hawakutaka kuiweka bayana
 
Naona Fei hataki kukubali, kaona achukue Wakili mwingine ili aweze kula pesa zake.

Mawakili na Wanasheria hawajawahi kusema suala linashindikana au wewe hutoboi, lazima wachukue pesa baadae ndio utaambiwa suala limeshindikana.
Wapo sawa sawa na waganga wa kienyeji au mafundi njaa. Wako radhi wakuharibie kazi au kitu chako, lakini sio kusema hicho/ hilo siliwezi.
 
Mi siamini kwenye hukumu hii ya TFF kama imefanya haki kwa jinsi mwenendo wa hii kesi ulivyokuwa.

Swala la kwanini hajaenda CAS kuna mambo mengi, muda au gharama ya kuendesha kesi (kitu ambacho naamini Yanga ndio wamelichukulia kama weakness ya kuweza kumshinda)
Kama hawezi kwenda CAS anapoteza mda wake bure
 
Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Kesi ya msuva na fei ni tofauti kabisa, msuva alikua ana wadai wydad pesa za usajili pamoja na mishahara. Usipomlipa mchezaji mshahara wa miez 3 unakuwa umeuvunja mkataba.

Kesi ya msuva ilikua upande wake kabisa ila hii ya fei ni tofauti.

Sijui kwann hamuelewi kabisa suala la fei na yanga!!
 
Kama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.

TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.

Wapemba wabishi
 
Wasimamie moja hata kama yapo mengi?

Sheria zinasema mchezaji aliyevunja mkataba alipishwe faini na kupewa adhabu ya miezi minne offline

Na adhabu ikiisha hawezi kuwa mchezaji wa hiyo timu

So why Yanga imemrudisha bila kufata utaratibu huo?

Hapo ndio wasiwasi wangu wa hii kesi kufanyika gizani unapokuja, hii kesi ingewekwa open kama ilivyokuwa kwa Morrison basi tungeshuhudia vitu vya ajabu sana

Nadhani ndio sababu TFF hawakutaka kuiweka bayana
Yanga ndo imemrudisha au TFF?

Mbona unapeleka lawama kwa asiyehusika
 
Kesi ya msuva na fei ni tofauti kabisa, msuva alikua ana wadai wydad pesa za usajili pamoja na mishahara. Usipomlipa mchezaji mshahara wa miez 3 unakuwa umeuvunja mkataba.

Kesi ya msuva ilikua upande wake kabisa ila hii ya fei ni tofauti.

Sijui kwann hamuelewi kabisa suala la fei na yanga!!
Sio kwamba hawaelewi ni wanataka tu kuilaumu Yanga
 
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum, Machi 6, 2023 amefika kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha ombi kulitaka Shirikisho hilo kuuvunja mkataba wake na Yanga ikiwa ni siku chache zimepita tangu shauri lake litupiliwe mbali.
Hivi hawezi akaamua kubaki lakini asiwe anacheza inavyotakiwa ili wamfukuze, kwamfano akitupiwa pass anabutua mpira uende nje au kukosa magoli ya wazi
 
Swala la adhabu linaidhinishwa na mahakama kwa mujibu wa sheria za FIFA na imeset hadi categories za adhabu kulingana na circumstances ya mtuhumiwa
Naona unazifundisha taasisi majukumu yao
 
Maumivu yameongezwa na yule muuza Mishikaki pale Buguruni.Ni wakati wa wazawa kuthaminiwa Morison analipwa ela nyingi Kwa ajili ya kufuga ndevu pale jangwani. Sasa Kila mmoja anawaza destination yake.Maisha yatakuwaje baada ya Soka?
 
Kesi ya msuva na fei ni tofauti kabisa, msuva alikua ana wadai wydad pesa za usajili pamoja na mishahara. Usipomlipa mchezaji mshahara wa miez 3 unakuwa umeuvunja mkataba.

Kesi ya msuva ilikua upande wake kabisa ila hii ya fei ni tofauti.

Sijui kwann hamuelewi kabisa suala la fei na yanga!!

Wengine ni wapiga zumari lkn hamna wajualo ni alimradi kidole gumba kichezee keyboard
 
Hiv ni kweli kiwa mkataba haukuweka option ya Fei kuweza vunja mkataba ?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Hakuna mktaba wowte usio na option ya kuuvunja, hakuna.mkataba wowte wa mpira lazima uwe na option ya kuuvunja.

Sasa hapo kwenye kuuvunja ndo kuna vipengele vingine sasa ili uvunjike, mfano sheria za fifa zinakataza mchezaji kuvunja mkataba ligi ikiwa inaendelea bila makubaliano ya pande mbili (fei na yanga)

Kimgine ili uvunje mkataba lazima muajiri awe amekiuka vifungu ktk mkataba wenu mfano, team isipokulipa mshahara wa miez 3 mfululizo inakua imevunja mkataba na mchezaji moja kwa moja kama suala la msuva ndomana alishinda bila hata kuzungumza na wydad kwasababu wydad walikua wameshakiuka vipengele ktk mkataba.

Kingine mfano mchezaji hapewi nafasi ya kucheza ktk mechi 10 mfululio hapo team inakua imekiuka masharti ya mkataba kama kulikua na kipengele hicho kwahyo mchezaji anaweza kuondoka na akasema mkataba umevunjika.

Sasa swali nakuuliza ktk yote hayo yanga ilikiuka kipengele kipi ili fei apate uhalali wa kuvunja mkataba? Jibu ni hakuna

Kwahyo Feisal njia aliyotumia sio sahihi, aitakiwa kwenda kuongea na yanga wakubaliane au team inayomtaka iende pale ikamnunue
 
Maumivu yameongezwa na yule muuza Mishikaki pale Buguruni.Ni wakati wa wazawa kuthaminiwa Morison analipwa ela nyingi Kwa ajili ya kufuga ndevu pale jangwani. Sasa Kila mmoja anawaza destination yake.Maisha yatakuwaje baada ya Soka?

Yule amekuwa chambo lkn wapo wengi saana

Ht wewe mwenyewe usikute kula yako ya gagaiko lkn huwazi unawaza ya watu [emoji1787]
 
Back
Top Bottom