Yanga wapo tayari kuboresha maslahi yake iwapo Fei yupo tayari.Yanga ni kubwa kuliko mchezaji yoyote. Kamati ya nidhamu ya Yanga impe adhabu ya kifungo cha miaka 4 ili akome na iwe fundisho kwa wachezaji wengine.
Maslahi ambayo mwanzo walisema haiwezekani kuboreshwa wakati mkataba haujaishaYanga wapo tayari kuboresha maslahi yake iwapo Fei yupo tayari.
Ninachokiona viongozi wa Yanga walichelewa kuthamini mchango wa Fei kwa wakati mpaka mtu kutoka nje alipoamua kuonyesha thamani yake.Maslahi ambayo mwanzo walisema haiwezekani kuboreshwa wakati mkataba haujaisha
Mafanikio ya Fei yapo kwenye fedha. Yanga wakiboresha maslahi vizuri hata akibaki ni sawa. Inasikitisha sana mchezaji anayejitahidi vile kupokea fedha isiyolingana na mchango wake.Fei nakuhakikishia mafanikio yako yapo nje ya Yanga, kama unataka kuwa mganga wa kienyeji we rudi Yanga.
Hilo ni juu yake atajua mwenyewe
Mashabiki wana mapenzi na Club, wao wamechagua kufuata msimamo wa ClubNinachokiona viongozi wa Yanga walichelewa kuthamini mchango wa Fei kwa wakati mpaka mtu kutoka nje alipoamua kuonyesha thamani yake.
Ni vile kwa mashabiki viongozi hawakosei ila walitakiwa wapate presha kubwa kutoka kwa mashabiki kwamba ni kwann Fei mlichelewa kuipandisha thamani ya mkataba wake na maslahi yake? Mlikuwa mnasubiri nn? Kina Morisson mliweza kuwarudisha na kuwaboreshea maslahi, ilikuwaje huyu aliyepo ndani iwe ngumu sana kumuita mapema na kuboresha mkataba wake mpaka aje mtu kutoka nje kumshawishi afanye haya anayoyafanya?
Hapo ndipo kazi ilipo. Club ndo viongozi, viongozi ndo club.Mashabiki wana mapenzi na Club, wao wamechagua kufuata msimamo wa Club
Na TFF wanaitumia hii case ku restore mahusiano na UtoHapo ndipo kazi ilipo. Club ndo viongozi, viongozi ndo club.
Ugali na sukari umemuharibu ubongoKama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.
TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Waarabu wa GSM wanataka kumrudisha Mzanzibari kwenye soko la utumwaUpo sahihi kabisa. Mkataba wa Faisal una release clause. Sema Yanga wanaleta usumbufu usio wa lazima. Kumg'ang'ania mchezaji ambae hawamtaki that's amount to forced labour.
Mpira unataratibu zake kama hutaki kucheza tena Yanga fwata taratibu uondokeAlifanya nn? Kwann suala lao lipo TFF?
Unajua hakuna sababu ya kujificha. Fei hataki kucheza Yanga hichi ndicho anachofanya tangu day 1.
Na anachokifanya Yanga ni kupigana kumbakisha. Hii ndo vita iliyopo.
Hayo mambo ya taratibu ni silaha tu ziazotumika kupigana hiyo vita.
Ushindi wa Fei itakuwa ni kuondoka Yanga. Labda abadili maamuzi.
Taratibu alizotumia Fei hazikuwa sahihi. Ni zipi ni sahihi? Mpaka sasa hizi taratibu za Fei kufuata ili aondoke ni siri.Mpira unataratibu zake kama hutaki kucheza tena Yanga fwata taratibu uondoke
Sahihi ndo hizi anazozifanya sasaTaratibu alizotumia Fei hazikuwa sahihi. Ni zipi ni sahihi? Mpaka sasa hizi taratibu za Fei kufuata ili aondoke ni siri.
Yap. Umeongea point. Yanga waweke wazi wanataka Tsh ngapi na kwanini. Hapo ndo ujinga wa Fei utapimwa au uonevu wa Yanga utaonekana.Yeye achukue hela club inayotaka kumsajili awape Yanga aendelee na maisha yake. Hukuna ndoa kwenye mpira.
Za kwenda TFF na kuomba mkataba uvunjwe?Sahihi ndo hizi anazozifanya sasa