tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
NdioZa kwenda TFF na kuomba mkataba uvunjwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioZa kwenda TFF na kuomba mkataba uvunjwe?
primary objective ya Fei anayoionyesha ni kuvunja mkataba. Kama hii njia anayopita haina tatizo basi kila la heri kwake. Akapate anachohitaji.Ndio
Yap. Umeongea point. Yanga waweke wazi wanataka Tsh ngapi na kwanini. Hapo ndo ujinga wa Fei utapimwa au uonevu wa Yanga utaonekana.
Kabisa mkuu.Mke akisema hakutaki ndio faida maana unanufaika hakuna mgao wa mali zako. Sasa huyo Uto waseme toka wamemnunua na kumkuza bei yake ni kadhaa na fee ya kuvunja mkataba ni kadhaa, dogo akae na club inayomtaka wampe hela awalipe Uto basi aendelee na mpira wake. Wajifunze kwa Florentino Perez raisi wa Madrid, timu inamtaka mchezaji mkataba bado linawekwa dau mkwanja unalipwa wanamwachia wanasajili makinda wengine wakali kwa nusu ya faida.
Kusema arudi kambini mtu ambaye hawataki itakuja kuwagharimu badae kwenye ku "deriver" ataperfom chini ya kiwango na bei yake itashuka watamuuza kwa hasara.
Mkataba hauvunjwi kama kuniMke akisema hakutaki ndio faida maana unanufaika hakuna mgao wa mali zako.
Sasa Uto waseme toka wamemnunua na kumkuza bei yake ni kadhaa na fee ya kuvunja mkataba ni kadhaa, dogo akae na club inayomtaka wampe hela awalipe Uto basi aendelee na mpira wake.
Wajifunze kwa Florentino Perez raisi wa Madrid, timu inamtaka mchezaji mkataba bado linawekwa dau mkwanja unalipwa wanamwachia wanasajili makinda wengine wakali kwa nusu ya faida.
Kusema arudi kambini mtu ambaye hawataki itakuja kuwagharimu badae kwenye ku "deriver" ataperfom chini ya kiwango na bei yake itashuka watamuuza kwa hasara.
Najiuliza sana, ina maana Uto kwenye mikataba yao hakuna kipengele "Clause" kama ikitokea Mchezaji au Timu unavunja mkataba suluhu yake ni nini?
Hakuna mkataba usiovunjwa boss. Kwa hatua aliyofikia Fei leo anawalazimisha Uto kuvunja mkataba ndio maana Uto wameleta option ya wito kwa wanaomtaka wajitokeze. Uto waweke dau wapewe hela.Mkataba hauvunjwi kama kuni
Utavunjika iwapo Fei ataendelea kushinikiza.Mkataba hauvunjwi kama kuni
Ndio maana nmekwambia hauvunjwi kama kuni, maana yangu kuna vitu lazima vifanyikeHakuna mkataba usiovunjwa boss. Kwa hatua aliyofikia Fei leo anawalazimisha Uto kuvunja mkataba ndio maana Uto wameleta option ya wito kwa wanaomtaka wajitokeze. Uto waweke dau wapewe hela.
Wamfukuze aondoke bure? Yanga wanataka kumtia adabu hayo maneno kwenye press release ni kutuliza atmosphere ila huko ndani ni motoUtavunjika iwapo Fei ataendelea kushinikiza.
Fei anachofanya ni kuwalazimisha waseme hizo taratibu za kuuvunja kwa kupeleka barua ya kuomba kuvunja mkataba na Yanga.
Yanga nao wanajaribu kuhakikisha Fei anarudi kambini, na wapo tayari kuboresha maslahi pamoja na yoote aliyoyafanya ikiwemo kutokuwepo kambini kwa miezi 3.(UTORO), kwa kawaida utoro ni kosa la kumundoa kikosini iwapo Yanga ingekuwa haimuhitaji.
BINAFSI NAONA SI SAWA YANGA KUENDELEA KUJIBIZANA NA FEI IWAPO HATARIPOTI KAMBINI:
Walipaswa wamfukuze, ingeleta heshima kwa club kuliko kumlazimisha arudi kikosini au kumpa mkataba mpya.
Ngoja tuone iwapo hataripoti watafanya nini na iwapo ataripoti watafanya nini.
Club kubwa kama Yanga? Sidhani, nadhani Yanga wanajaribu kutengenez fedha kupitia kuondoka kwake, Mambo ya kumkomoa mchezaji ni ya mashabiki ambao soka kwao ni ibada. Club inawaza mapato.Wamfukuze aondoke bure? Yanga wanataka kumtia adabu hayo maneno kwenye press release ni kutuliza atmosphere ila huko ndani ni moto
Sasa Feisal amevunja mkataba?????? Kama ndio huko TFF amepeleka barua ya mahari yako??Kwa mujibu wa sheria ya FIFA mchezaji atayevunja mkataba kiholela lazima awajibishwe kwa faini na kufungiwa
Na baada ya hayo hawezi kuendelea kuhudumu kwenye Club hiyo kwasababu mkataba ulishavunjika
Labda mkataba wa pangoSasa Feisal amevunja mkataba?????? Kama ndio huko TFF amepeleka barua ya mahari yako??
People like you, are the reason we have middle fingers.Sasa Feisal amevunja mkataba?????? Kama ndio huko TFF amepeleka barua ya mahari yako??
FYI:Msuva alikuwa mchezaji wa Wydad Casablanca sio RajaMsuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Acha kudanganya watu Yanga hawajawahi kumpeleka Feisal mahakamaniPeople like you, are the reason we have middle fingers.
Unaelewa madai yaliyowasilishwa na Club kuhusu Feisal yali demand nini?
Au unaandika tu uonekane na wewe kuna kitu umechangia?
Yanga ilipeleka madai mahakamani kuwa Feisal amevunja mkataba kinyume na sheria
Katika article ya 4.1 ya sheria za fifa kuhusu termination of contract zinasema upande wowote utaovunja mkataba iwe kwa kufata sheria au kwa kukiuka sheria, mkataba huo utahesabika kuwa umevunjika.
Utofauti unakuja kwenye consequences ya hizo termination, kuwa aliyevunja kinyume na sheria lazima awajibishwe kwa kulipa faini ya pesa pamoja na adhabu ha kufungiwa.
We ndo umemaliza kila kitu,haya uzi ufungweYanga buana [emoji5][emoji5][emoji5]
Kwanini wasimuache aende!? Au ndio Ile roho mbaya ya tukose wote[emoji15]
Mshahara wenyewe mil2,afu bado wanalazimisha abakiView attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Zuwena aliyewalala kwao huko huko.Hata nyie mnajiona timu kubwa ila vipers wanawaona kama zuwena tu. Kila mtu na mtazamo wake.
Mayele kuwa mbovu ni mtazamo wako tu.. Sikupingi.