Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kama wewe ni wakili endelea kutafuna pesa za Faisal mpaka stock ya sukari iishe ila tayari ameumaliza mwendo.So what?
Yanga ni waonezi tu, TFF ni makanjanja tu, mwacheni dogo aitafute haki yake hadi uajemi
Sasa kama sisi tunamuona Mayele mbovu, je hao Vipers watamuonaje?Hata nyie mnajiona timu kubwa ila vipers wanawaona kama zuwena tu. Kila mtu na mtazamo wake.
Mayele kuwa mbovu ni mtazamo wako tu.. Sikupingi.
Wengine wakina nani ?Mayele anacheza mpira, hao wengine wanachezea mpira.
Thamani ya Fei kaitaja wakili wake Fatuma kuwa ni 350m. Sasa anayemtaka alete hiyo pesa tumkabidhi ndugu yake Afande wa Zanzibar.Nani amekwambia Fei anauzwa Billion? au magezeti ya udaku unayosoma kutwa ndio yanakufanya ujione unazijua sana za ndani.
Kwa akili zao ukienda kuulizia bei ya kumnunua Mayele watakwambia bilioni 10.Wamuache mzinze waanze kuhangaika na vikongwe
Yes atatoboa gunia la sukari.Atatoboa?
Hana hela, ipo ya sukari tu na ndio maana hata wanaomsimamia anafanya kuwaomba tu wamsaidie (refer kauli ya Shangazi)Sasa mbona faisal haindi CAS kama kweli anajiamini 😂
Ndio tumeanza kumsaidia. Hujaona barua za kuvunja mikataba tushazituma TFF au nikutumie kopi.Kamssidie FEI upige mpunga. Miezi mingspi sasa yuko bench?
Acha u mbumbumbu, Duniani umewahi sikia FA inapanga thamani ya mchezaji!! Klabu ndio inapanga thamani ya mchezaji yeye ni Asset ya club.Mkataba hauwezi kuvunjwa kwa matakwa ya Yanga.
Utavunjwa kulingana na thamani halisi ya mkataba.
Nani atahakikisha mkataba unavunjwa ipasavyo kama sio TFF?
Ulikuwa unamlipa million nne, afu uje uwaambie watu mchezaji anauzwa Billion?
Mbona alilipa million 110 na bado ameshindwa kesi??Acha majinga upande wwte una uwezo wa kuvunja mkataba ilimradi ulipe gharama za kuvunja mkataba.
We ndio unayafahamu?Acha u mbumbumbu, Duniani umewahi sikia FA inapanga thamani ya mchezaji!! Klabu ndio inapanga thamani ya mchezaji yeye ni Asset ya club.
Thamani ya mchezaji haipatikani Kwa mshahara pekeyake Kuna gharama zilizo tumika kufikiasha kiwango chako pale kilipo.
Mfano training facility, Makocha, Malazi ,ujuzi n.k msikurupuke Kwa msiyo yafahamu.
Sasa ishu ya magoli imeingiaje hpa aisee ukiwa DUNDUKA lzima uwe mbumbumbu [emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna anayemtaka Mayele anayefunga goli moja baada ya mechi 8 [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hiyo ni thamani ya timu mpaka asset inazo milikiKwa akili zao ukienda kuulizia bei ya kumnunua Mayele watakwambia bilioni 10.
Aliingia mkataba na Tff au ndo mnataka kumfilisi huyo dogo wa zenji??Ndio tumeanza kumsaidia. Hujaona barua za kuvunja mikataba tushazituma TFF au nikutumie kopi.
Soon ataanza kula ugali na chumvi.Ile issue ya kula ugali na sukar itakuwa ni serious
Kumbe mnamsikiliza na kumuamini Shangazi? By the way, kama sikosei hapo alisema thamani halisi ya Feisal ni hiyo kama Yanga wangekuwa wamemthaminisha ipasavyo kimkataba.Thamani ya Fei kaitaja wakili wake Fatuma kuwa ni 350m. Sasa anayemtaka alete hiyo pesa tumkabidhi ndugu yake Afande wa Zanzibar.
Tunamfilisi vipi wakati tunamsaidia apate haki zake. Infact anayetulipa sio Feisal kuna mwamba mwingine.Aliingia mkataba na Tff au ndo mnataka kumfilisi huyo dogo wa zenji??
Simba walimugopa mzungu walitishia tu then waulize ni walichukua hatua gani kwa huyu mzungu koko so far??Simba hawakulifumbia macho, usipotoshe watu.View attachment 2539203
Kama ni hivyo ni ngumu sasa kufanya anavyotaka, mbona jambo jepesi, Feisal aende na watu wake pale Yanga ili wakae meza moja ili waangalie namna ya kuvunja huo mkataba hapo Yanga watatoa gharama, kisha TFF kazi yao itakuwa kubariki tu.Kama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.
TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Streka kwa tafsiri isiyo rasmi ya kiswahili ni mfungaji broSasa ishu ya magoli imeingiaje hpa aisee ukiwa DUNDUKA lzima uwe mbumbumbu [emoji3][emoji3][emoji3]