Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Hata nyie mnajiona timu kubwa ila vipers wanawaona kama zuwena tu. Kila mtu na mtazamo wake.
Mayele kuwa mbovu ni mtazamo wako tu.. Sikupingi.
Sasa kama sisi tunamuona Mayele mbovu, je hao Vipers watamuonaje?
 
Mkataba hauwezi kuvunjwa kwa matakwa ya Yanga.
Utavunjwa kulingana na thamani halisi ya mkataba.
Nani atahakikisha mkataba unavunjwa ipasavyo kama sio TFF?

Ulikuwa unamlipa million nne, afu uje uwaambie watu mchezaji anauzwa Billion?
Acha u mbumbumbu, Duniani umewahi sikia FA inapanga thamani ya mchezaji!! Klabu ndio inapanga thamani ya mchezaji yeye ni Asset ya club.
Thamani ya mchezaji haipatikani Kwa mshahara pekeyake Kuna gharama zilizo tumika kufikiasha kiwango chako pale kilipo.
Mfano training facility, Makocha, Malazi ,ujuzi n.k msikurupuke Kwa msiyo yafahamu.
 
We ndio unayafahamu?
Thamani ya mkataba ni nini?
 
Thamani ya Fei kaitaja wakili wake Fatuma kuwa ni 350m. Sasa anayemtaka alete hiyo pesa tumkabidhi ndugu yake Afande wa Zanzibar.
Kumbe mnamsikiliza na kumuamini Shangazi? By the way, kama sikosei hapo alisema thamani halisi ya Feisal ni hiyo kama Yanga wangekuwa wamemthaminisha ipasavyo kimkataba.

Unaambiwa thamani ya Feisal kwa mkataba wa sasa ni milioni 25 kwa mwaka na umebaki mwaka mmoja mkataba kuisha.

Ngoja tuone itakuwaje.
 
Kama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.

TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Kama ni hivyo ni ngumu sasa kufanya anavyotaka, mbona jambo jepesi, Feisal aende na watu wake pale Yanga ili wakae meza moja ili waangalie namna ya kuvunja huo mkataba hapo Yanga watatoa gharama, kisha TFF kazi yao itakuwa kubariki tu.
 
Back
Top Bottom