Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..

Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.

Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024

Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
 
Ume apa vibaya ungesema tukuite Kibu Denis
 
Football ni biashara ila kilichofanyika kwa Fei kimefanyika kienyeji Sana
Kweli mkuu.. Hapo washauri wake Feitoto hawajatimiza majukumu yao vizuri, kitakachofanyika ni suala ambalo litaenda kuinufaisha Yanga ili mchezaji acheze Azam au kumkomoa kabisaa mchezaji
 
Sawa tutakukumbusha mm tahitaji namba za mkeo na picha yake.
 
Kipindi cha Morrison mlisema hivho hivyo mkaenda mpaka CAS lakini mwisho wa siku nini kilitokea ?
 
NOTED.... umesema life ban? Aione Paw
 
Sema walichokifanya Azam ni uhuni kama ule wa kaka yao simba kwa Bernard Morrison. Nadhani ifikie wakati Yanga nao wajitenge na makosa yanayo jirudia.

Kwa nini wanatengeneza mianya kwenye mikataba wanayoingia na wachezaji wao?
Umeongea vitu viwili kwanza uhuni wantimu za Azam na Simba pili mianya ya mikataba ya yanga twende na la pili kama Kuna mianya kwenye mikataba ni wazi la kwanza halipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…