Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

Kwahiyo kima Cha kwa wachezaji ni kiasi gani?
We unaishi marekani kwamba hujui yanayoendelea Tanzania hicho kima Cha chini kinafatwa na taasisi na kampuni ngapi hapa Tanzania?
Usihame kwenye msingi wa nilichosema. Kuwepo sheria ni jambo moja na kutofuatwa sheria ni jambo lingine.
 
Mleta uzi naona kama umesahau umafia ulifanyika wakati wa kumsajili MSHERY kutoka Mtibwa... Acha inyeshe Utalowa tu.
 
Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..

Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.

Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024

Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
Nyie jamaa mnasambaza ushoga kwa namna yenu. Si maadili yetu binadamu. Acha ushoga
 
Feisal Salum to Azam Fc ada ya Usajili Tsh. Mil.396 kwa kandarasi ya Miaka ya 3

NMshahara kwa mwezi Tsh.Mil 16,

Feisal amejiunga na Azam akiwa mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake na Yanga Sc uliosalia ambao ulikuwa unatamatika 2024,
20221224_213107.jpg
 
Sema walichokifanya Azam ni uhuni kama ule wa kaka yao simba kwa Bernard Morrison. Nadhani ifikie wakati Yanga nao wajitenge na makosa yanayo jirudia.

Kwa nini wanatengeneza mianya kwenye mikataba wanayoingia na wachezaji wao?
Hakuna Uhuni tulifanyiwa kwa Morrison. Sisi tulikuwa Wapumbavu... Tulishtaki wapi na wapi? Ikawaje? Morrison si huyu tumerudishiwa. Sisi Ushabiki maandazi na kuendesha mpira kisiasa zaidi.
 
Mleta uzi naona kama umesahau umafia ulifanyika wakati wa kumsajili MSHERY kutoka Mtibwa... Acha inyeshe tujue wapi panapovuja
Sijui hii ishu mnaichukuliaje wakuu. Mchezaji kurudisha jumla ya mishahara yake iliyobakia kwenye mkataba wake Kwa mwajiri wake tayari anakuwa mchezaji huru??
Fifa sio chombo dhaifu kiasi hiki mnavyofikiria kiasi kushindwa kuliona hili jambo ambalo linawaweka waajiri/clubs kwenye kizungumkuti

Hata kama kungekuwa kuna mapungufu kwenye sheria bado Yanga ni timu kubwa kuliko Azam kwaio hata km Kuna upindishwaji wa sheria lazima itakuwa inawa favour Yanga
 
Sheria za kazi zipo wazi ,unaweza kutoa notice ya mwezi mmoja au 24hrs ila hapa unatakiwa kumlipa Mwajiri mshahara wa mwezi mmoja.

Kama amefuata taratibu zote na amelipa sidhani kama kuna tatizo.
 
Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..

Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.

Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024

Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
Uanze kufanya maandalizi huyo mkeo mimi naanza naye
 
Sheria za kazi zipo wazi ,unaweza kutoa notice ya mwezi mmoja au 24hrs ila hapa unatakiwa kumlipa Mwajiri mshahara wa mwezi mmoja.

Kama amefuata taratibu zote na amelipa sidhani kama kuna tatizo.
Rahisi tu ki ivyo mkuu?? You are not seriously
 
Sijui hii ishu mnaichukuliaje wakuu. Mchezaji kurudisha jumla ya mishahara yake iliyobakia kwenye mkataba wake Kwa mwajiri wake tayari anakuwa mchezaji huru??
Fifa sio chombo dhaifu kiasi hiki mnavyofikiria kiasi kushindwa kuliona hili jambo ambalo linawaweka waajiri/clubs kwenye kizungumkuti

Hata kama kungekuwa kuna mapungufu kwenye sheria bado Yanga ni timu kubwa kuliko Azam kwaio hata km Kuna upindishwaji wa sheria lazima itakuwa inawa favour Yanga
FIFA inakua ya kibaguzi kiasi hicho kwamba inatetea vilabu vikubwa pekee... Yani kama ilivyoisha ishu ya MSHERY baada ya Yanga kuchungulia vipengele vya kimkataba baina ya MSHERY na Mtibwa wakaona panapovuja wakafanya UMBAGALA ko hapo panapo vuja kwenye mkataba na ya FEI TOTO na Yanga ndo Azam atakapotokea amin nakwambia watachelewesha tu ila itakua tu maana hakuna namna...
 
Sema walichokifanya Azam ni uhuni kama ule wa kaka yao simba kwa Bernard Morrison. Nadhani ifikie wakati Yanga nao wajitenge na makosa yanayo jirudia.

Kwa nini wanatengeneza mianya kwenye mikataba wanayoingia na wachezaji wao?
Matokeo ya kuendesha klabu kiujanja ujanja na uswahili mwingi.
 
Back
Top Bottom