Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Usihame kwenye msingi wa nilichosema. Kuwepo sheria ni jambo moja na kutofuatwa sheria ni jambo lingine.Kwahiyo kima Cha kwa wachezaji ni kiasi gani?
We unaishi marekani kwamba hujui yanayoendelea Tanzania hicho kima Cha chini kinafatwa na taasisi na kampuni ngapi hapa Tanzania?