Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Million nne tu🙄 mwacheni mtoto wa watu aende kutafuta maisha kama ni kweli kweliila yanga michosho sana, kumbe dogo alikua analipwa 4M tuu kwa mwezi pamoja na jitihada zote zile? halafu mnataka azeekee hapo aanze kuchekwa uzeeni? mmezingua sana.
Ana wakala wake na watu wake wa karibu nadhani walipitia walikua na nafasi pia ya kusema kitu flani kiongezwe au kipunguzwe kwenye mkataba na wakaona unawafaa na akasaini sasa ushasaini alafu badae ndo uje useme wametumia udhaifu wako.
FIFA inakua ya kibaguzi kiasi hicho kwamba inatetea vilabu vikubwa pekee... Yani kama ilivyoisha ishu ya MSHERY baada ya Yanga kuchungulia vipengele vya kimkataba baina ya MSHERY na Mtibwa wakaona panapovuja wakafanya UMBAGALA ko hapo panapo vuja kwenye mkataba na ya FEI TOTO na Yanga ndo Azam atakapotokea amin nakwambia watachelewesha tu ila itakua tu maana hakuna namna...
Mzee iliyotumika ni Release clause sio buy out clause, Fei toto amelipa pesa ya kuvunja mkataba na sio kununua mkataba wake uliobaki na Yanga. Kwenye release clause hakuna maongezi zaidi yatahitajika maana Fei toto ni mchezaji huru kwa sasa.Kwaio buy-out clause ya Feitoto ni milion 112??
Na kuvunja mkataba ye mwenyewe kaamua kuvunja au mkataba hauvunjiki?Hakuna mtu alimlazimisha kusaini mil 4 yeye mwenyewe alisaini.
Watanzania tujifunze ku bargain sio kuja kulalamika mchango wangu mkubwa.
kabisaFootball ni biashara ila kilichofanyika kwa Fei kimefanyika kienyeji Sana
Mind games kuelekea derbý yetu ya Dar es SaalamKwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..
Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.
Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024
Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
nafikiri alichokisema mtoa post ni njia sahihi kufuatwa wewe unaleta uzaramo kwenye mambo ya kutumia akiliHahahahahahha we jamaa ndo bure kabisaa!!!sasa mtu hawataki atachezaje??MKIACHWA KUBALINI KUACHIKA,mbona simba waliachwa na mzungu wakakubali tuu kubalini hela hamnaaaaaaa[emoji26][emoji26][emoji26]
Sasa ndugu yangu.....hapo muhuni ni nani......anayenunua mkataba wake na kufuata malisho mema au anayezuia tu kununua mkataba wake Kwa vipengele walivyokubaliana......???Sema walichokifanya Azam ni uhuni kama ule wa kaka yao simba kwa Bernard Morrison. Nadhani ifikie wakati Yanga nao wajitenge na makosa yanayo jirudia.
Kwa nini wanatengeneza mianya kwenye mikataba wanayoingia na wachezaji wao?
Nadhani unajadili Jambo la heshima na Mtu asiyejiheshimu. Ukiachana naye itakuwa heri.Kwahiyo mkuu wewe na akili zako unamtumia manara kama reference yako?
Manara anacheo gani pale Yanga mpaka aongelee mikataba ya wachezaji?
Hadi mtu anabet mkeka, tayari huwa haoni shida ikitokea ameliwa. Vile vile, kiapo chako kinaonyesha kuwa huoni shida kuwa shoga ikitokea Fei Toto amehamia Azam. Kila la heri katika style mpya ya maishaFeitoto akicheza Azam niitwe shoga
Mapopoma tupo wengi, weka namba na picha ya mkeoFeitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma,
Ni kweli kachomoa mwiko nyuma huyu jamaa au ni amsha amsha za Dar derby
Ngoja aibukie baadae hapo msimbazi hata kwa mkopo uone uto....watakavyomloga....Anzeni kuchoma moto jez zake kama mlivyofanya kwa Nyionzima. Mkiachwa kubalini kuachika japo inawauma
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nendeni CAS kama kawaida yenuSema walichokifanya Azam ni uhuni kama ule wa kaka yao simba kwa Bernard Morrison. Nadhani ifikie wakati Yanga nao wajitenge na makosa yanayo jirudia.
Kwa nini wanatengeneza mianya kwenye mikataba wanayoingia na wachezaji wao?
Umeshaambiwa huko Yanga wenye akili ni wawili tu waliobakia wote ni hamnazoKitengo cha sheria cha Yanga kiangaliwe, watu wake hawana uwezo.
Sio tu kwamba hajiheshimu bali hajielewi kabisaNadhani unajadili Jambo la heshima na Mtu asiyejiheshimu. Ukiachana naye itakuwa heri.