Tunaambiwa kapombe akiwa taifa stars anakuwa faza! HajitumiNilichogundua Mwalimu anataka timu iwe ngumu sana kwenye kuzuia yani kusiwe na mtu mvivu na anapenda mabeki wote wawe wanaruka kusaidia kuokoa mipira ya vichwa, viungo wa shoka wanaoweza kugongana muda wote,
.
ila bado nahisi Shomary Kapombe ana umuhimu sikwamba Job amecheza vibaya la hasha nikua kunahitajika mtu ambae yuko comfortable na eneo lake ili kutengeneza balance nzuri ya timu.
Huyo Kibu hata kutuliza mpira hawezi aitwe kufanyaje, bora hao wengineHawezi kupotea acha uchawi. Dogo leo kacheza vizuri unfortunately kapata muda mdogo. Hii Stars aongezwe Tshabalala, Kapombe na Kibu D kazi imeisha.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hatuna mshambuliaji local level ya Kibu D! Hutaki sawa, unataka sawa.Huyo Kibu hata kutuliza mpira hawezi aitwe kufanyaje, bora hao wengine
Ficha upumbavu wako.Hatuna mshambuliaji local level ya Kibu D! Hutaki sawa, unataka sawa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Walid Clement Mzize ana maagoli mengi msimu huu kuliko Kibu Denis.Hatuna mshambuliaji local level ya Kibu D! Hutaki sawa, unataka sawa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nilichogundua Mwalimu anataka timu iwe ngumu sana kwenye kuzuia yani kusiwe na mtu mvivu na anapenda mabeki wote wawe wanaruka kusaidia kuokoa mipira ya vichwa, viungo wa shoka wanaoweza kugongana muda wote,
.
ila bado nahisi Shomary Kapombe ana umuhimu sikwamba Job amecheza vibaya la hasha nikua kunahitajika mtu ambae yuko comfortable na eneo lake ili kutengeneza balance nzuri ya timu.
Naona umeandika kwa furaha na bashasha Sana kiwango Cha kijana kushuka..Leo nimepata fursa ya kushuhudia huyu Kijana akicheza dakika zake 13 hapa Misri.
Kwa jicho langu la kiufundi huyu dogo ili acheze vizuri anahitaji hamasa sana hasa kutoka kwa mashabiki. Pia ni aina ya wachezaji wanaopenda kuzungumzwa ili afanye vyema kiwanjani.
Huyu dogo kamwe hatoweza kurudi katka ubora wake hata acheze timu yeyote ile hapa Afrika, labda akipata fursa ya kicheza mpira nje ya nchi ndipo atapata fursa ya kunolewa upya.
Yaani ni aina ya wachezaji kama Chama. Ili afanye vyema ni lazima mashabiki na waandishi wa habari wamsifie na kumzungumza kila wakati.
Licha. Ya fitness routine alizokuwa akifanya kipindi hayuko kambini na timu yake Yanga SC, bado anaonekana kuna kitu anakosa.
Unaweza ukamsaidia arudishe fitness yake ila ni ngumu saana kurudisha psychology yake ktk njia sahihi.
Dogo keshapotea.
Hata national team call up ilikuwa ni kwasabbu ya yule mpemba morroco aliyependekeza jina lake kwasababu za kiuzanzibar tu...Hakuna kocha mwenye leseni iliyo shiba anaweza muita feisal.
Kipaji kimepotea, ila kama taifa yatupasa tushukuru Mungu kwa kutupatiaMudathir Yahya.
Sawa MunguLeo nimepata fursa ya kushuhudia huyu Kijana akicheza dakika zake 13 hapa Misri.

Aongezwe kibu d tu,hao wengine wataenda kuloga watotoSent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sawa Mkuu, sasa yeye hataki kurudi Yanga na wala kutafuta timu nyingine ili asajiliwe na aendeleze kipaji chake, sasa atarudije kwenye form? Ifike mahali naye ajitambue awaambie wanaomtaka wakae mezani na Yanga ili akamilishe dili lake la kuihama Yanga halafu aendelee na kuboresha kiwango chake.Hilo huwa ni kawaida kwa mchezaji yeyote anapo kaa nje ya pich kwa muda mrefu akicheza mechi mbili anarudi kwenye hali ya kawaida.
Umeona eehπππKiwango kizuri cha Fei kitaumiza baadhi ya watu. Ss ndo waTanzania.
Bora Walidi Mzize kuliko Kibu DHatuna mshambuliaji local level ya Kibu D! Hutaki sawa, unataka sawa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
awaambie wanaomtaka wakae mezani na Yanga ili akamilishe dili lake la kuihama Yanga halafu aendelee na kuboresha kiwango chake.
Ana goli ngapi na assist ngapi msimu huu?Hatuna mshambuliaji local level ya Kibu D! Hutaki sawa, unataka sawa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hili lipo wazi bossUmeona eehπππ