Feisal Salum ni mchezaji wa kawaida sana, Yanga imemkuza kuliko uhalisia wake

Feisal Salum ni mchezaji wa kawaida sana, Yanga imemkuza kuliko uhalisia wake

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Feitoto ni mchezaji mwenye juhudi nyingi uwanjani, ila kiukweli sio mchezaji mwenye kipaji halisi cha soka. Ukiachana na mashuti anayopiga ambayo ni asilimia chache sana yamezaa magoli nini kingine anaweza kukupa? Hawezi kupiga chenga, hawezi fanya driblling, sio mkabaji mzuri n.k

Yanga wamemvimbisha kichwa huyu kijana matokeo yake ndio haya amekuwa Bonge la star anayejiona anaweza cheza PSG na kina Messi na Mbape.

Kiufupi Feitoto anawategemea zaidi Yanga kuliko Yanga wanavyomtegemea yeye.

Heri ya Mwaka Mpya.

Povu ruksaa...
 
Ukweli unaita dharau? Feitoto atacheza no ya nani pale Simba??
Alipokuwa huko mlikuwa mnasema anatakiwa akacheze Ulaya means Simba mliona si level yake kabisa sasa anayeweza kucheza Ulaya kucheza Simba anakosaje namba.
Atashindana na Mzamiru dimba la chini
 
kabisa bongo ni Ligue Moja janja sana.......Inawa pump wachezaji vibaya mnoo......full front page, full tv interviews then mchazaji anajiona Ronaldo .....akienda nje ...chenga
 
Alipokuwa huko mlikuwa mnasema anatakiwa akacheze Ulaya means Simba mliona si level yake kabisa sasa anayeweza kucheza Ulaya kucheza Simba anakosaje namba.
Atashindana na Mzamiru dimba la chini
Dah...uhuru umepitiliza,yaani leo mzamiru analinganishwa na upuuzi
 
Kuna Wimbo Fulani Mashabiki Wa Simba Huwa Wanauimba,wanasema..!

Nasikia Kelelee hukooo,Wanalia... Hawaamini Macho YAOOO'...!

Afu Kumbe Vifungu anavijua..Ame quote "Surah AL Anfal aya 30" Mungu ndiye Mbora Wa Mipango...huyu Mtoto.!
 
Back
Top Bottom