Feisal Salum yupo wapi hapa?

Feisal Salum yupo wapi hapa?

iyo picha kapost nani?
kuna picha page ya yanga walipost jana fei yupo asa wew iyo umeitoa wapi
Hiyo yangu ni ya mwanzo kabisa baada ya mechi.
Hiyo unayoisema watakuwa wameiedit baada ya kuona mapungufu kwa hilo.
 
Back
Top Bottom