Feisal salumu chutama na kuomba radhi kwa wana Yanga na viongozi wote, hakika utapotelea kusikojulikana

Feisal salumu chutama na kuomba radhi kwa wana Yanga na viongozi wote, hakika utapotelea kusikojulikana

UKIACHWA ACHIKA uto waheed wewe
Nimeongelea Zaid talanta yake siyo ushabiki mauno fc wewe
Unadhani saivi yupo wapi ?? Anafanya Nini akirudi uwanjani hakuna timu itamtaka dogo anapiromoka
 
Nimeongelea Zaid talanta yake siyo ushabiki mauno fc wewe
Unadhani saivi yupo wapi ?? Anafanya Nini akirudi uwanjani hakuna timu itamtaka dogo anapiromoka
Yuko kitandani anakukanda na miuni feni yako
Anapiromoka ndio mdudu gani
 
Unapokosea siyo vibaya kuomba radhi na maisha mengine yaendelee huku mkono unakwenda kinywani, bila kujali makelele ya wafua vyuma.

Ndiyoooo, nimemuona Feisal wa Taifa Stars ni tofauti kabisa na Feisali kijana pendwa wa kocha Nabi.

Hakika kama Feisal akiendelea kuvimba huko mafichoni, kitakachotokea hata wale waliomjaza upepo watamkimbia na kutokomea kusikojulikana.

Najiuliza mpaka sasa Feisal anafanya mazoezi gani? Je, ni mazoezi stahili ili kujiweka fiti inavyotakiwa?

Nalengwa na machozi kwa kijana fundi, kijana mwenye talanta kupotea kwenye kiza kinene kwa sababu ya siasa za mpira wetu wa Kitanzania hasa hawa mapacha wa Simba na Yanga.

Mliomjaza upepo Feisali, tunaomba mumshauri arudi kuomba radhi ili asipoteze talanta yake ya football, kwa kweli alikaa miezi miwili bila mechi yoyote kaja kuonekana Taifa Stars, bwana mdogo kiwango kimeshuka.

Feisal asiposhituka mapema, namuona kabisa Simba, Azam na Yanga zikimkataa na kukimbilia Ruvu, mtibwa na nk.
Feisal haitaki Yanga , wewe unaleta magazeti humu.

Wapi umemwona Feisal akilalamika kwamba anahitaji huruma. Makosa yake unayajua ww lkn si feisal na lawyers wake.

Ulisikia Yanga Ni baba na mama yake.
 
Feisal haitaki Yanga , wewe unaleta magazeti humu.

Wapi umemwona Feisal akilalamika kwamba anahitaji huruma. Makosa yake unayajua ww lkn si feisal na lawyers wake.

Ulisikia Yanga Ni baba na mama yake.
Amalize mkataba Kama Kuna mtu atamuhitaji.
 
Back
Top Bottom