ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Tunateseka kileleni 8 points on topMnateseka sana utopolo na Feisal mlipeni pesa atulie kuliko maana amechoka kula ugali kwa chunvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunateseka kileleni 8 points on topMnateseka sana utopolo na Feisal mlipeni pesa atulie kuliko maana amechoka kula ugali kwa chunvi
Na ataonekana wazi utoto ndiyo unao msumbua. Aliyependekeza kuitwa kwa huyu dogo, anatakiwa kupewa pongezi.Hakika ni Jambo la kushangaza sana katika huu mpira wet wakibongo bongo
Feisal salumu ameikataa yanga, nakupotelea kusikojulikana akidai kuwa yanga haimlipi vizuri .
Hakuishia hapo feisali salumu aliamua kuishitaki yanga kwa mama yake mzazi namna gani alivyokuwa anateseka sana pale kambini mpaka kufikia hatua yakula ugali kwa kulumagia na sukari.
Ni mengi sana feisal kayasema kwa mama yake mzazi.
Mpaka Sasa Hana hamu na hataki kabisa kucheza wala kuiskia yanga.
Juzi mkeka wa wito kwenda kuichezea taifa stars umetoka na orodha ya majina imetoka kuwa feisal ni mchezaji wa yanga na anatokea yanga.
Sasa nakuuliza bwana mdogo utakwenda kama mchezaji wa yanga au utaendelea kushikilia msimamo wako kuwa huitaki yanga??
Na ukiitika wito maana yake umevunja msimamo wako kama ulivyoondoka kambini na kuikataa yanga.
Inabidi usimamie msimamo wako kuwa wewe siyo mchezaji wa yanga wakuite kwa jina la timu nyingine lakini siyo yaanga.
Mashabiki tutashangaa ukiitika wito wa taifa stars ukiwa kama mchezaji wa yanga.View attachment 2553016
Kuna mtu aliyekuzuia na wewe kufungua hizo nyuzi kila saa?Huna akili, unafungua nyuzi kila saa zisizo na kichwa wala miguu
wewe ni mjingaMnateseka sana utopolo na Feisal mlipeni pesa atulie kuliko maana amechoka kula ugali kwa chunvi
Punguza kiherehereKuna mtu aliyekuzuia na wewe kufungua hizo nyuzi kila saa?
Kama ukiona unachukizwa sana, muweke tu kwenye ignore list yako.
Na kuanzia hapo, hutaziona hizo nyuzi zake za kila saa na zisizo na kichwa wala miguu.
Sana sana simba sc maana wao ndiyo wameleta figisu mpaka akaondoka yangaHapo kaitwa, akienda na akaperform mada zitafunguliwa za kutosha. Kuna mashabiki wanachotaka kuona ni Fei anapotea kimpira kabisa na wanajiandaa na hilo.
Mbona una makasiriko sana mzee,Punguza kiherehere
Na akiitikia wito aje kutueleza ameitikia Kama mchezaji wa timu gani.Na ataonekana wazi utoto ndiyo unao msumbua. Aliyependekeza kuitwa kwa huyu dogo, anatakiwa kupewa pongezi.
Maana ametegwa patamu kweli kweli. Maana akitii wito, amejiingiza kwenye mtego dhidi ya timu yake! Asipoitikia wito, moja kwa moja ataonekana ni mtovu wa nidhamu kwa timu yake ya Taifa!
Time will tell.
Angalia usije kukumwagikia kwenye kijambio.Upupu
Naona dogo mmeamua kumuweka mtu kati. Wenye mamlaka za juu wameamua kumshughulikia.Haina madhara kwa dogo Fei. Aende tu Taifa Stars. Japo atamkuta Kaze pale! Akizingua na hapa arudi tu JKU!
Nadhani ni muhimu kumsaidia Fei kujua tofauti ya uhuni na sheriaNaona dogo mmeamua kumuweka mtu kati. Wenye mamlaka za juu wameamua kumshughulikia.
Mnachanganya mambo. Focus ingekuwa kujenga kikosi cha ushindi siyo kuita watu ili tu kuwategaNadhani ni muhimu kumsaidia Fei kujua tofauti ya uhuni na sheria
Na ametegwa sasa! Tuone atajiunga na timu ya Taifa akitokea Yanga, au atapuuzia wito ili kuudhihirisha utoto wake.Mnachanganya mambo. Focus ingekuwa kujenga kikosi cha ushindi siyo kuita watu ili tu kuwatega
Timu inayojinasibu kuwa ni kubwa haihangaiki hivyo. Mnaendelea kumlipa mfanyakazi hewa kwa kujisifu kabisa.Na ametegwa sasa! Tuone atajiunga na timu ya Taifa akitokea Yanga, au atapuuzia wito ili kuudhihirisha utoto wake.
Yanga inatimiza wajibu wake kwa mchezaji, na pia inaheshimu mkataba iliyoingia na huyo mchezaji.Timu inayojinasibu kuwa ni kubwa haihangaiki hivyo. Mnaendelea kumlipa mfanyakazi hewa kwa kujisifu kabisa.
Kuwarudishia pesa yenu siyo shida, inawezekana hata haigusi au anaizungusha tu sasa hivi 🤣😂🤣 Kama aliweza kuwapa zaidi ya milioni 100 atashindwa kuwarudishia milioni 20 sijui ambazo mlimtumia wenyewe?Yanga inatimiza wajibu wake kwa mchezaji, na pia inaheshimu mkataba iliyoingia na huyo mchezaji.
Hivyo sioni kama kuna tatizo kwa upande wa timu, isipokuwa kwa huyo mchezaji siku za usoni. Maana atalazimika kuutapika huo mshahara anaolipwa kwa sasa.
Hivi zile milioni 100 alizoweka kwenye akaunti ya Yanga ili kuvunja mkataba wake, alizipata wapi kama mchezaji alikuwa anashindia ugali na sukari?Kuwarudishia pesa yenu siyo shida, inawezekana hata haigusi au anaizungusha tu sasa hivi 🤣😂🤣 Kama aliweza kuwapa zaidi ya milioni 100 atashindwa kuwarudishia milioni 20 sijui ambazo mlimtumia wenyewe?