Feisal salumu utakapoitikia wito wa taifa stars utakua umevunja msimamo wako wakutokua mchezaji halali wa yanga

Feisal salumu utakapoitikia wito wa taifa stars utakua umevunja msimamo wako wakutokua mchezaji halali wa yanga

Hivi zile milioni 100 alizoweka kwenye akaunti ya Yanga ili kuvunja mkataba wake, alizipata wapi kama mchezaji alikuwa anashindia ugali na sukari?
Mchezaji kama Feisal hawezi kukosa milioni 100 akiwa anaihitaji.
 
Hakika ni Jambo la kushangaza sana katika huu mpira wet wakibongo bongo
Feisal salumu ameikataa yanga, nakupotelea kusikojulikana akidai kuwa yanga haimlipi vizuri .

Hakuishia hapo feisali salumu aliamua kuishitaki yanga kwa mama yake mzazi namna gani alivyokuwa anateseka sana pale kambini mpaka kufikia hatua yakula ugali kwa kulumagia na sukari.

Ni mengi sana feisal kayasema kwa mama yake mzazi.
Mpaka Sasa Hana hamu na hataki kabisa kucheza wala kuiskia yanga.

Juzi mkeka wa wito kwenda kuichezea taifa stars umetoka na orodha ya majina imetoka kuwa feisal ni mchezaji wa yanga na anatokea yanga.

Sasa nakuuliza bwana mdogo utakwenda kama mchezaji wa yanga au utaendelea kushikilia msimamo wako kuwa huitaki yanga??
Na ukiitika wito maana yake umevunja msimamo wako kama ulivyoondoka kambini na kuikataa yanga.

Inabidi usimamie msimamo wako kuwa wewe siyo mchezaji wa yanga wakuite kwa jina la timu nyingine lakini siyo yaanga.


Mashabiki tutashangaa ukiitika wito wa taifa stars ukiwa kama mchezaji wa yanga.View attachment 2553016
Mchezaji huitwa timu ya taifa hata kama hana timu kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom