Feisal Taifa litakusahau Ukipotoshwa

Maturity ni kukubali yaishe,arudi kambini maisha yaendelee. Yeye sio wa kwanza kukosea.
Anavozidi kukaa hivi ubora wake unapungua.

Najua kinachomsumbua ni ego/pride. Asione aibu,kuna wataomcheka na kumkebehi but eventually yataisha na tutasahau maisha yataendelea.

Namuonea huruma.
 
Kwa bahati mbaya akili hizo hana! Na mbaya zaidi kuna wajinga wengi wanavimbisha kichwa.
 
Tevez aliondoka Man City baadae wakayajenga akarudi.
 
Feisal alichoka kula ugali kwa sukari , msimlazimishe tafadhali
 
Hata wakimalizana kama ana sali basi azidishe Dua na kama anaamini kwenye shiriki basi aroge Sana yanga hawata muacha salama
 
Huu ushauri wako simba watapinga
 
Bora kusaulika uwe na pesa. Kuliko kukumbukwa na ufukara wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…