Feisal Taifa litakusahau Ukipotoshwa

Feisal Taifa litakusahau Ukipotoshwa

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Jambo la kusikitisha ni kuwa wakati wenzake wanarudi katika timu zao yeye anarudi mtaani......."

Kuna hesabu dogo alipigiwa, na ndo hizi mbanga zimemfikisha hapa

06DBB171-E497-40D6-BA73-044BE4BC2559.jpeg
 
Maturity ni kukubali yaishe,arudi kambini maisha yaendelee. Yeye sio wa kwanza kukosea.
Anavozidi kukaa hivi ubora wake unapungua.

Najua kinachomsumbua ni ego/pride. Asione aibu,kuna wataomcheka na kumkebehi but eventually yataisha na tutasahau maisha yataendelea.

Namuonea huruma.
 
Kwa bahati mbaya akili hizo hana! Na mbaya zaidi kuna wajinga wengi wanavimbisha kichwa.
 
Maturity ni kukubali yaishe,arudi kambini maisha yaendelee. Yeye sio wa kwanza kukosea.
Anavozidi kukaa hivi ubora wake unapungua.

Najua kinachomsumbua ni ego/pride. Asione aibu,kuna wataomcheka na kumkebehi but eventually yataisha na tutasahau maisha yataendelea.

Namuonea huruma.
Tevez aliondoka Man City baadae wakayajenga akarudi.
 
Hata wakimalizana kama ana sali basi azidishe Dua na kama anaamini kwenye shiriki basi aroge Sana yanga hawata muacha salama
 
Maturity ni kukubali yaishe,arudi kambini maisha yaendelee. Yeye sio wa kwanza kukosea.
Anavozidi kukaa hivi ubora wake unapungua.

Najua kinachomsumbua ni ego/pride. Asione aibu,kuna wataomcheka na kumkebehi but eventually yataisha na tutasahau maisha yataendelea.

Namuonea huruma.
Huu ushauri wako simba watapinga
 
Back
Top Bottom