Feisal Toto anarudi akilia na kubembeleza. Labda ameisahau Yanga

Bado tu mna mawazo ya kijinga Feisal yanga sio Mama yake wala Baba yake. Muacheni aamue hatma ya maisha yake!! Ngasa hadi leo anachekwa, kwa kukataa ofa nono Sudan ili aichezee yanga! Leo hii hata pesa ya kuingia uwanjani acheki mechi za yanga hana. Akitaka kuingia kwa kutumia jina na mapenzi yake kwa yanga, mabaunsa wanamzuia!! Hadi huruma! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti mimi hunijui wewe?! Jamani, wewe humjui Ngasa kweli?! Watu wanataka gademu money hayo mapenzi peleka Tanga!!
"Kama Mwanamke hakutaki, muache usimbake"
Afande Sele!
 
Mkuu mijamaa ina roho za kichawi chawi sana,yaani ni mimasikini haina hela,halafu inang'ang'ania mchezaji ili imlipe pesa wanazotaka wao wakati mchezaji kashaona fursa kwingineko,na wakati huo huo kwenye Mkataba wameshajitela, wanabaki kutoa laana utafikiri wao ni Mungu
 
hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatumia akili zako kweli yan kifupi umeongea ujinga
 
Huyo Fei hakua kila kitu Yanga...! hata game ambazo Yanga imecheza pasipo yeye bado imepata matokeo & gape la fei halikuweza kuonekana..! Labda Viongozi wanarukaruka na kutaka maslai tu ila Fei hakua / hajawai kila kitu pale jangwani wayamalize tu asepe. Kifupi anajazwa ujinga/ ukubwa ambao hana.. ! Una Aziz K unang'ang'ania Fei toto? [emoji848][emoji848]
 
Unajua baada ya kurudi sasa hivi Morrison analipwa sh. milioni 23 kwa mwezi? Sasa hapo unaweza ukasema amepunguziwa au ameongezewa hela?
Unaujua mshahara wa Morrison kama nani yake? Meneja wake, wakala wake!!
 
Genta!! Hivi una ID's ngapi?
 
Kwaio uchawi ndo jadi yenu. Na mnadhan unaweza kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikisema yanga ni weu naonekan mpenda fujo
 
roho ya kichawi
 
Acha kijana akale mema ya kipaji chake... Hayo mengine porojo tuu yangekua yanawasaidia nadhani saizi Yanga angekua amechukua makombe ya CAF zaidi ya Club yeyote ile Africa yaani mpaka Club Bingwa ya Dunia ya Fifa mngelikua mabingwa nyinyi lakini kinachoendelea sasa Hahahahahaaa, sijui hua mnafikiri ni viMiungu vidogo yaani bila nyinyi hakuna kila kitu Yaan Daaah mnashangaza kweli kweli mafanikio yenyewe ya hiyo Club ukilinganisha na umri na inavyoimbwa yaani ni kichekesho tu.
Ila Kushuka na kupanda kiwango cha mchezaji hampanga nyinyi. Do your best God will do Rest...
 
Wewe mpumbavu kama walivyo wapumbavu wengine,si ukacheze wewe
 
Timu inaongoza Kwa wasomi na kutoa mabusha wachezaji?
 
DaH inafikirisha sana game vs prison game vs azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…