Sasa hizo lawama zinaenda vipi Yanga?!! Kwanini msizipeleke kwa wanao Mshauli?Hujui tu mdogo wangu hauna match fitness unakubalije kwenda national team bila kuelewa kua ni kampeni ya Yanga kukudhalilisha...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Em kwanza! Kwamba Yanga ndio wamuita Feisal timu ya Taifa?!
Nikimuonesha Aden Rage hii post nitakuwa nimekosea?
Mimi naona ungemuonesha tu Aden Rage hii post, ili na yeye atoe maoni yake. Maana naona mpaka GSM ametajwaEm kwanza! Kwamba Yanga ndio wamuita Feisal timu ya Taifa?!
Nikimuonesha Aden Rage hii post nitakuwa nimekosea?
Sijapendelea upende Fei atafute Tim la sivyo nauona mwisho wake kwenye football
feisal timu anayo ila yeye ndo hataki kucheza mpira...Sijapendelea upende Fei atafute Tim la sivyo nauona mwisho wake kwenye football
Daaaaaah we jamaa hv unajua ulichoandika?? Paragraph ya juu unasema atafute timu hata kama ni Simba au Ihefu then paragraph inayofata unasema hii nchi usijecheza Simba au Yanga watakufelisha, mbona haueleweki??Hujui tu mdogo wangu hauna match fitness unakubalije kwenda national team bila kuelewa kua ni kampeni ya Yanga kukudhalilisha.
Achana na misifa ya kuitwa Stars ukajiona we unafaa dogo tafuta timu hata kama ni simba au ihefu... we nanda mpira ni kama shule bila kusoma huwez kufaulu.
GSM Wanakupimia ili wakufelisha... hii nchi usije chezea Yanga na Simba hawa wahuni wa Kariakoo sio poa wana had ushirikina.
Feisal umekua kibonge
Baada ya sukari na ugali kupigwa knockout,,Mmekaa mmeamua kuja na ili ?Yanga kuna kibosile alitaka kumfanya askari wa Zenji ndiyo siri ya yeye kuondoka Ila anaona itazidi kumfedhehesha ndiyo maana hasemi ukweli wote,mamat yake ndiyo maana alisema mambo mengine ni siri kubwa. Asilaumiwe sana Feisal hili suala limekaa pabaya.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app