Feisal toto kataa wito wa taifa stars tena

Feisal toto kataa wito wa taifa stars tena

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Hujui tu mdogo wangu hauna match fitness unakubalije kwenda national team bila kuelewa kua ni kampeni ya Yanga kukudhalilisha.

Achana na misifa ya kuitwa Stars ukajiona we unafaa dogo tafuta timu hata kama ni simba au ihefu... we nanda mpira ni kama shule bila kusoma huwez kufaulu.

GSM Wanakupimia ili wakufelisha... hii nchi usije chezea Yanga na Simba hawa wahuni wa Kariakoo sio poa wana had ushirikina.

Feisal umekua kibonge
 
Hizi mechi za taifa stars Fei anapewa namba ili waikomoe Yanga 😅😂 matokeo yake anabolonga... Mazafanta wote dogo wanazidi mtia dole la jicho anapotea tu... Ila amenawiri mashallah
 
Em kwanza! Kwamba Yanga ndio wamuita Feisal timu ya Taifa?!

Nikimuonesha Aden Rage hii post nitakuwa nimekosea?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila Feisal ni mchezaj naachana na ushabiki mandazi. Tafuta timu bwana mdogo unaanza kutukwaza
 
Hujui tu mdogo wangu hauna match fitness unakubalije kwenda national team bila kuelewa kua ni kampeni ya Yanga kukudhalilisha.

Achana na misifa ya kuitwa Stars ukajiona we unafaa dogo tafuta timu hata kama ni simba au ihefu... we nanda mpira ni kama shule bila kusoma huwez kufaulu.

GSM Wanakupimia ili wakufelisha... hii nchi usije chezea Yanga na Simba hawa wahuni wa Kariakoo sio poa wana had ushirikina.

Feisal umekua kibonge
Daaaaaah we jamaa hv unajua ulichoandika?? Paragraph ya juu unasema atafute timu hata kama ni Simba au Ihefu then paragraph inayofata unasema hii nchi usijecheza Simba au Yanga watakufelisha, mbona haueleweki??
 
Ukweli usemwe. Wachezaji wa ndani wakizivuruga simba na yanga hua huwa hawatoboi. Simba na Yanga ni kama utamaduni au imani. Pale kama mleta mada alivyosema kuna wachawi na walozi wanawanga. Si unaona hadi South kwa madiba watu walichoma uwanja? Asimfuate Morrison, yule ni mgeni na hatujui kwao pamekaaje.

Yuko wapi Messi wa bongo?

Ebu bwana mdogo malizana na wanajangwani uondoke ukacheze mpira.
 
Yanga kuna kibosile alitaka kumfanya askari wa Zenji ndiyo siri ya yeye kuondoka Ila anaona itazidi kumfedhehesha ndiyo maana hasemi ukweli wote,mamat yake ndiyo maana alisema mambo mengine ni siri kubwa. Asilaumiwe sana Feisal hili suala limekaa pabaya.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Baada ya sukari na ugali kupigwa knockout,,Mmekaa mmeamua kuja na ili ?
Kweli rage alikuwa yupo sahihi
 
Back
Top Bottom