Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
I will be short.
when did Fei toto ever help taifa stars in anything??
Kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa.
Morocco anaona nini kwa Fei toto?
Mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni mzingo wa taifa stars. bora awesu awesu.
changes should be made. mizingo itolewe yote timu ya Taifa.