Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Labda shemejie.I will short.
when did Fei toto ever help taifa stars in anything??
kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa.
morocco anaona nini kwa Fei toto??
mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni mzingo wa taifa stars. bora awesu awesu.
changes should be made. mizingo itolewe yote timu ya Taifa.
Kwasasa awesu anamzidi, si kwa margin kubwa but anamzidi. Mpira gani huu? Backpass kibaoFei mzuri kuliko Awesu, Awesu mzuri ila hajafikia level za Fei.
Hasira hazijaisha.Mnatia kinyaaa
Anacheza na wakina nani? Fei wa Azam amezungukwa na wachezaji wazuri, hata huyo Awesu angepiga back pasi.Maana hata Mzize wa Yanga na huyu wa leo ni tofauti.Kwasasa awesu anamzidi, si kwa margin kubwa but anamzidi. Mpira gani huu? Backpass kibao
Fei wa azam amezungukwa na wachezaji wazuri? Seriously bro? 😂Anacheza na wakina nani? Fei wa Azam amezungukwa na wachezaji wazuri, hata huyo Awesu angepiga back pasi.
Unataka tubishane, sasa profile ya wachezaji wako wa Stars na Azam ni sawa......?Fei wa azam amezungukwa na wachezaji wazuri? Seriously bro? 😂
faiza ana uwezo, ila tuseme ukweli kibabage huwa sielewi hata kwanini wanamuita, ila namwombea mema kwasababu ni kijana anatafuta ugali, but ningekuwa kocha, ningemsubirisha kwanza.I will short.
when did Fei toto ever help taifa stars in anything??
kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa.
morocco anaona nini kwa Fei toto??
mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni mzingo wa taifa stars. bora awesu awesu.
changes should be made. mizingo itolewe yote timu ya Taifa.
Labda mzuri Kwa sura....Fei mzuri kuliko Awesu, Awesu mzuri ila hajafikia level za Fei.
Mtizamo wako hujashikiwa bastora ila kwangu ni mzuri kuliko Awesu.Labda mzuri Kwa sura....