Feisal toto kwanini anaitwa timu ya Taifa na hana kiwango wala msaada timu ya Taifa . bora Awesu Awesu

Feisal ndio dhahabu pekee kwa Tanzania baada ya Samatta.

Mengi yatazungumzwa, ila ndio mchezaji mzawa pekee ambaye anaweza battle katika level za Chama, Aziz Ki, Pacome, Max au Deborah Mavambo.
 
Feisal ndio dhahabu pekee kwa Tanzania baada ya Samatta.

Mengi yatazungumzwa, ila ndio mchezaji mzawa pekee ambaye anaweza battle katika level za Chama, Aziz Ki, Pacome, Max au Deborah Mavambo.
Uliangalia mpira leo? Umeona alichofanya Mudathir baada ya kuingia na uchezaji wa Taifa stars baada ya Mudathir kuingia?
 
Uliangalia mpira leo? Umeona alichofanya Mudathir baada ya kuingia na uchezaji wa Taifa stars baada ya Mudathir kuingia?

Nimeangalia mpira.

Kuna makosa mengi yamefanyika kuanzia kwa benchi la ufundi hadi wachezaji.

Uwepo wa Himid & Miroshi katika kulifanya transition kutoka defensive/attacking(hasa final third kuwa butu) ila alipokuja mudathir angalau mambo yakabadilika.

Sijajua swali lako, lina uhusiano vipi na issue ya Feisal, ila kwa maelezeo hayo tu kwenye safu ya kiungo, lazima attacking mid/strikers wa-struggle.

Japo taifa lina ugongwa wa namba 10 kwa muda mrefu, ila angalau kama Fei atatumika vizuri, angalau atapunguza hili tatizo.

Ila kum-Judge Feisal kwa mechi ya leo, haiwezi kukupa picha kamili na ni kumuonea tu.

Tatizo limeanzia kwenye benchi la ufundi.
 
Jamani nyamazeni kwanza nitoe maoni yangu, hivi hii timu yetu si tuwauzie waarabu pia!
 
Feisal ndio dhahabu pekee kwa Tanzania baada ya Samatta.

Mengi yatazungumzwa, ila ndio mchezaji mzawa pekee ambaye anaweza battle katika level za Chama, Aziz Ki, Pacome, Max au Deborah Mavambo.
muulize yule msomali
 
AWESU sio mchezaji ni TAKATAKA tu.
 
Acha wivu kwa failasufi, yani kuna MZINGO mmoja hivi ulitaka kufunga kwa kutumia UTOSI aiseee.....
 
Mchezaji mkubwa anaonekana katika mechi kubwa, Feisal hakucheza vizuri, kama baadhi ya wachezaji wengi walio cheza Chini ya kiwango.

Feisal alitakiwa aonyeshe yeye ndiye namba 10 wa timu yetu ya Taifa lakini kilichotokea ni kama hakuwepo.

Feisal anajua mpira ila hana nguvu, eneo analo cheza linahitaji ku ujua mpira na uwe na Nguvu za kupambana kwakua yeye ndiye kitovu Cha mashambulizi ya timu.
Walio bahatika kumuona Yusufu Macho (Muso) wataelewa naongea Nini.
Macho alikua namba 10 anaujua mpira, anapiga mashuti anachezeaha timu, ana Nguvu.

Alikua ni mchezaji wa kwanza Mtanzania aliye kwenda kukipiga Jomo cosmos ya South Afrika baada ya coach Jomo Sono raia wa South ku ukubali mziki wa Yusufu Macho Mechi na south Africa

Zile mechi ITV walikua wakizionyesha, wahusika pale Tff waongee na ITV wapate video wamuone Yusufu Macho alikua mwamba wa namna Gani katika nafasi ya namba 8 au 10 wajifunze kitu.
 
Huyo Himid Mao hakuna haja ya kumuita tena ni mzigo tu muda wote anarudisha mpira nyuma badala kupeleka mbele kwa mashambulizi ! Wachezaji hawana umakini nini wanatakiwa kufanya (focus) katika kucheza lengo ni magoli sio tu kukimbiakimbia uwanjani.Pia nimeona wachezaji hawana stamina kabisa waethiopia walikuwa wanachukua mpira kirahisi ilipotokea battle ya one to one hata kupoka mipira walikuwa wanafanya sana na walifanikiwa ukilinganisha na sisi
 
Yusu
Yusuphu macho aliipa ubingwa wa afcon Tanzania?
 
Sasa hivi kila sector imevamiwa,, wazanzibar hata km hana uwezo ila atapewa nafasi iwe bara or visiwani
 
Waingereza wamewaharibu watanzania, timu yenu ina wachezaji wenye uwezo wa wastani.
 
Yusu

Yusuphu macho aliipa ubingwa wa afcon Tanzania?
Hakuipa Ubingwa ila tunawaelekeza wanao cheza wakatazame video za Mtanzania aliyewahi kucheza nafasi iyo kwa ubora mkubwa itamsaidia mchezaji kujifunza au kuongezea pale penye mapungufu.
Ata wanafunzi hutumia past paper kujibu mitihani iliyo mbele Yao.
 
Tatizo la Taifa Stars ni zaidi ya ubovu wa uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…