Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wa ndani, na utakuwa ni mchezaji wa tatu kulipwa mshahara mkubwa kwa soka la Tanzania.
Hongera saana, next time ukipata upenyo kama huu, unapelekea kama unataka kuhamia Simba kwa Watani wao, saizi ungekuwa ndiye mchezaji unayelipwa fedha nyingi kwa hapa Tanzania,sio mbaya hata kule ulikowachezeshea kuwa unataka kwenda kumesaidia na kutawasaiidia Wachezaji wazawa wengi hapo baadaye kuboresha masilahi yao.
Hiki alichofanya Feisal, alikuwa anafanya Emmanuel Okwi kuwapiga Simba, akaja Bernad Morrison na sasa imefika kwa Mzawa Feisal Toto. Ulistahili na unastahili kwa package utakayopewa sasa hapo Jangwani, kipaji bila akili ni sawa na kumaliza chuo ukakosa cheti.
Wachezaji wengine msije mkaiga itawagharimu, Feisal Toto kwa vyovyote ambavyo ingekuwa Yanga wasingeweza kumshitaki kokote kule (sababu ni nyingi), hiyo ndiyo ngao iliyokuwa mbele ya sakata hili.
Mchezo umeumaliza, sasa katumikie Jangwani moyo na akili vikiwa vimetulia.
Kupanga ni kuchagua, Wachezaji na Wanamichezo wengine msisite kuajiri vijana walioenda shule wawasaidie kwenye mambo yenu, the has so much to offer to you ila mnakwama kwa sababu ya watu walio nyuma yenu, kipaji pekee hakitoshi kwenye dunia ya leo.
Hongera Wizara ya Michezo Utamaduni na Sanaa
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Mwaka 2023 uwe wa kheri kwa kila Mwana JF