Feisal ni mtoto na kama angepata wakubwa yeye na mama yake walitakiwa kukalipiwa.
Feisal kuishi na watu sio Zanzibar kama unavyosikia muungano na kumbuka wanaokuchochea sio watakao kusaidia kwenda timu dau unalo taka.
Unavyojibishana na Yanga kumbuka ni taasisi ambazo Simba na Yanga zina wafuasi kuliko chama cha CCM.
Na kila timu unayoiona hapa Tanzania lazima kupata baraka kwa timu nilizozitaja.
Watakufanyia jambo ambalo kesho utakuja kuwa muuza urojo forozani kwa umaarufu wako.