Feisal utoto unaofanya utaishia Zanzibar kuchezea huko

Feisal utoto unaofanya utaishia Zanzibar kuchezea huko

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Feisal ni mtoto na kama angepata wakubwa yeye na mama yake walitakiwa kukalipiwa.

Feisal kuishi na watu sio Zanzibar kama unavyosikia muungano na kumbuka wanaokuchochea sio watakao kusaidia kwenda timu dau unalo taka.

Unavyojibishana na Yanga kumbuka ni taasisi ambazo Simba na Yanga zina wafuasi kuliko chama cha CCM.
Na kila timu unayoiona hapa Tanzania lazima kupata baraka kwa timu nilizozitaja.

Watakufanyia jambo ambalo kesho utakuja kuwa muuza urojo forozani kwa umaarufu wako.
 
Kwa hiyo umeamua kumtisha utafikiri maisha unapanga wewe na watu wa simba na yanga!!!
 
Back
Top Bottom