Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga.
Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu.
Azam kama kweli wana hela na nia ya kuileta ushindani, kwanini wasitafute vipaji bora zaidi kutoka nje ya nchi ?
Leo ni Fei, kesho watamtafuta nyota mwingine wa Yanga na si kutafuta kutoka nje ya nchi.
Yanga mwacheni Feii aende zake na tafuteni mwingine kutoka nje ya nchi mwenye uwezo zaidi naamini uwezo wa kusajili mchezaji mwingine mnao.