Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Inaonekana umeumia Sana mwanetuAzam kama kweli wana hela na nia ya kuileta ushindani, kwanini wasitafute vipaji bora zaidi kutoka nje ya nchi ?
Walipeni wachezaji hela nzuri. Hawatashawishika kuhama. Acha kulia lia.Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga.
Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu.
Azam kama kweli wana hela na nia ya kuileta ushindani, kwanini wasitafute vipaji bora zaidi kutoka nje ya nchi ?
Leo ni Fei, kesho watamtafuta nyota mwingine wa Yanga na si kutafuta kutoka nje ya nchi.
Yanga mwachen Feii aende zake na tafuteni mwingine kutoka nje ya nchi mwenye uwezo zaidi. naamini uwezo mnao.
Unaishauri Yanga au Azam? Mchezaji wa Azam, inakuwaje uishauri Yanga isimpange?Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga.
Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu.
Azam kama kweli wana hela na nia ya kuileta ushindani, kwanini wasitafute vipaji bora zaidi kutoka nje ya nchi ?
Leo ni Fei, kesho watamtafuta nyota mwingine wa Yanga na si kutafuta kutoka nje ya nchi.
Yanga mwachen Feii aende zake na tafuteni mwingine kutoka nje ya nchi mwenye uwezo zaidi naamini uwezo wa kusajili mchezaji mwingine mnao.
Ni ujinga kung'ang'ania mchezaji ambae tayari ameshaonyesha nia ya kutaka kuondoka.Inaonekana umeumia Sana mwanetu
Ngoja watapomchukua Chama, ndio tutajua mnachosimamia.Walipeni wachezaji hela nzuri. Hawatashawishika kuhama. Acha kulia lia.
Ni sawa na kuwaambia Azam wasilipe hela nzuri ili mfanane kwa pamoja.
Mchezaji yeyote akipata nafasi kwenye timu yenye maslahi bora, na aende.
Kama tu Fei mnamlipa 4m, bila shaka Kibwana atakuwa anakunja Laki 7 yake.
Nyie Sure boy na Gadiel Michael mliwatoa nje ya nchi wakati wanakuja hapo Yanga?Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga.
Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu.
Azam kama kweli wana hela na nia ya kuileta ushindani, kwanini wasitafute vipaji bora zaidi kutoka nje ya nchi ?
Leo ni Fei, kesho watamtafuta nyota mwingine wa Yanga na si kutafuta kutoka nje ya nchi.
Yanga mwachen Feii aende zake na tafuteni mwingine kutoka nje ya nchi mwenye uwezo zaidi naamini uwezo wa kusajili mchezaji mwingine mnao.
Hawakuchukuliwa kihuni na ndio maana nasema wafuate taratibu.Nyie Sure boy na Gadiel Michael mliwatoa nje ya nchi wakati wanakuja hapo Yanga?