Feitoto alijua kitakachotokea Leo, aluta continua, ngoma hii sasa inakwenda CAS

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.

Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS

Kazi kwenu.
 
Kelele nyingi tu, nendeni CAS leo hii.

Akili mbov.u sijui umetoroka Milembe

Mtu mwenyewe umejiunga jf Feb 2023
 
Nendeni tena fanyeni haraka sana.

Tunatak mkose kabisaa Cha kusema

Binafsi nitafurahi San mkienda na CAS Ili baada ya hapo msubiri kupata haki mnayotaka mbinguni
 
Kama vipi nendeni hata mbinguni ila kwa kesi hii Fei hatoboi
 
Kwaiyo huko CAS ndo mtaenda kusema muenewe huruma nawao kama wazazi wanawatoto wanaenda uwanjan kwa boda, mara yatima sijui mpama mjombaake anamtegemea then ndiyo mshinde! Sio rahisi kama unavyodhan bro
 
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.

Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS

Kazi kwenu.
anapoteza muda wake bure,tff hakuna aliyehongwa,ni haki tupu fei ni mchezaji halali wa yanga
 
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.

Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS

Kazi kwenu.

Kanuni Za Mpira Ni Zile Zile, Zilizotumika TFF Ndio Zitakazotumika Huko CAS Hakuna Kitakachobadilika.
 
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.

Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS

Kazi kwenu.
Akili yako wewe na feisal mnazijua wenyewe, Alitakiwa ata iyo review asiombe alitakiwa sasa hivi awe ashafika uko CAS unapopasema haraka sana nani alimzuia? Yanga awana habari nae maana mtego waliomuwekea akija kushtuka na mpira ataacha ngoja twende nae kiubabe kama anavyoshauliwa na wajinga kama nyie alafu mtakuja kufurahi wenyewe
 
Kwani CAS mkataba hautaenda.
 
Mtu analipwa mshahara na kazini hayupo wala hastuki?
 
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.

Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS

Kazi kwenu.
Aende tu Yanga ni taasisi itaendelea kufanya mambo yake kama kawaida hata kama huko CAS wakae miezi 6 bila kutoa hukumu timu itaendelea na mipango yake ya kutetea ubingwa wake wa ligi, na Shirikisho Azam na mpango wa kufika mbali kimataifa wachezaji wapo yeye Mwache ahangaike Yanga haina cha kupoteza dunduka wewe
 
Kwanza wamechelewa sana kwenda
 
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.

Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS

Kazi kwenu.
Wewe pamoja na Jemedari Said Kazumari mbwiga akili zenu ziko sawa.
 
Back
Top Bottom