Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kelele nyingi tu, nendeni CAS leo hii.Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.
Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS
Kazi kwenu.
anapoteza muda wake bure,tff hakuna aliyehongwa,ni haki tupu fei ni mchezaji halali wa yangaEndeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.
Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS
Kazi kwenu.
Anamaanisha wanakwenda KASI.CAS ipi hiyo inayosikiliza mtu anayetaka kuvunja mkataba bila kufuata taratibu?
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.
Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS
Kazi kwenu.
Akili yako wewe na feisal mnazijua wenyewe, Alitakiwa ata iyo review asiombe alitakiwa sasa hivi awe ashafika uko CAS unapopasema haraka sana nani alimzuia? Yanga awana habari nae maana mtego waliomuwekea akija kushtuka na mpira ataacha ngoja twende nae kiubabe kama anavyoshauliwa na wajinga kama nyie alafu mtakuja kufurahi wenyeweEndeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.
Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS
Kazi kwenu.
Kwani CAS mkataba hautaenda.Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.
Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS
Kazi kwenu.
Mtu analipwa mshahara na kazini hayupo wala hastuki?Akili yako wewe na feisal mnazijua wenyewe, Alitakiwa ata iyo review asiombe alitakiwa sasa hivi awe ashafika uko CAS unapopasema haraka sana nani alimzuia? Yanga awana habari nae maana mtego waliomuwekea akija kushtuka na mpira ataacha ngoja twende nae kiubabe kama anavyoshauliwa na wajinga kama nyie alafu mtakuja kufurahi wenyewe
Aende tu Yanga ni taasisi itaendelea kufanya mambo yake kama kawaida hata kama huko CAS wakae miezi 6 bila kutoa hukumu timu itaendelea na mipango yake ya kutetea ubingwa wake wa ligi, na Shirikisho Azam na mpango wa kufika mbali kimataifa wachezaji wapo yeye Mwache ahangaike Yanga haina cha kupoteza dunduka weweEndeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.
Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS
Kazi kwenu.
Kwanza wamechelewa sana kwendaAende tu Yanga ni taasisi itaendelea kufanya mambo yake kama kawaida hata kama huko CAS wakae miezi 6 bila kutoa hukumu timu itaendelea na mipango yake ya kutetea ubingwa wake wa ligi, na Shirikisho Azam na mpango wa kufika mbali kimataifa wachezaji wapo yeye Mwache ahangaike Yanga haina cha kupoteza dunduka wewe
Wewe pamoja na Jemedari Said Kazumari mbwiga akili zenu ziko sawa.Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.
Ninaamini baada ya uamuzi wa CAS ndio tutajua hatma ya soka letu kwa hawa wanasheria wetu hapa bongo.Feitoto hawezi kushindwa kesi hii kule CAS
Kazi kwenu.