Feitoto kusema anataka mshahara kama wa Azizi Ki! Kiko wapi?

Feitoto kusema anataka mshahara kama wa Azizi Ki! Kiko wapi?

Mzee Mpili popote ulipo msamehe dogo
FB_IMG_1691645789184.jpg
 
Kocha hamna hapo Azam,Hana mbinu mbadala dakika tano za Mwisho unapigwa chuma mbili,halafu ushaona wapi mabeki wa Tatu wa kibongo wanakupa ushindi halafu unawaweka benchi kipa wa kimataifa pamoja na mabeki wa Kati wenye uzoefu...halafu utegemee kushinda.

Azam wanapoteza pesa kuleta makocha wasiojielewa timu imezidiwa dakika kuanzia ya 60 na haufanyi sub,unafanya sub dakika za Mwisho ujinga mtupu.

Huyo Dabo hamna kocha kwanza kaingia na uwoga kuweka ulinzi usiokuwa na faida.
Dabo mbinu hana ,na km anazo basi za kitoto zita mgharimu sana
 
Nataka mshahara kama wa Azizi KI, mwenzio dk 20 zimetosha kuamua mechi, Wewe dk 90 zote unaruka ruka kiwanjani!

Kuna msemo wa wahenga usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa

Future yako iko rehani, huko uliko hakuna mashabiki wa kukusifia kama ilivyokuwa ukiwa Yanga, kiuhalisia hukuwa na maajabu[emoji1]
Mara ngapi feisal anatokea bechi na anabadilisha ubao refer mechi ya AZAM fc.
Acha bangi mkuu feisal ana takwimu nzuri kuliko aziz ki alivyokuwa yanga.
 
Dabo mbinu hana ,na km anazo basi za kitoto zita mgharimu sana
Ana uzoefu wa kufundisha timu za vijana Sasa huku hapamfai ndio maana anaanza na Zuberi Foba anaacha Makipa wazoefu benchi....Hadi pre season alikuwa Ana muanzisha yule dogo halafu hamna kitu.....makosa mengi kafanya amabayo yangezaa magoli matatu kipindi Cha kwanza lakini kocha hashtuki Kama sio upumbavu Ni Nini,Azam bado Sana kuipandisha thamani ya jezi yao.

Angalia Simba Yanga wako serious Sana kuanzia makocha,wachezaji mpaka viongozi wanajua Kuna kitu tunadaiwa Ila sio Azam Kuna watu tunataka mabadiliko ya Soka lakini wanatuvunja moyo.

Kuna timu hazijiwezi kiuchumi Ila huwa zinapiga soka la kufa na kupona Ila sio Azam hii,mbwe mbwe nyingi uwanjani zero...Dabo aliingia na hofu ndio maana akapanga kikosi kile yule Manyama,Lusajo,Kheri Ni ma fullbeki unaenda kuwapanga mabeki wa Kati!!!

Azam Kuna wachezaji wazuri Tatizo Ni Kocha...ndio maana aliamua wasusie mechi Tunisia kuogopa kufungwa nyingi,pale hakuna kocha.
 
Kwani anacheza peke yake.timu nzima ya azam ilicheza ovyo sasa yeye peke yake angebadilisha nini?.
 
Nataka mshahara kama wa Azizi KI, mwenzio dk 20 zimetosha kuamua mechi, Wewe dk 90 zote unaruka ruka kiwanjani!
Bado haiondoi ukweli kuwa Feisal ni mzuri kuliko Aziz Ki. Kama ni magoli, hata Mzize anafunga 😁
 
hana akili,hajasoma,upumbavu wake hajui hata kufuatilia historia,kuna mchezaji aliyetoka yanga na kwenda timu pinzani akakamia kupambana na yanga akafanikiwa?
Anayefanikiwa ni mchezaji au ni timu?.Wako wakina hamis tambwe,niyonzima nawengibe wamecheza kwenye hivi vilabu kwa mafanikio.Kilichotokea kwa fei ni hali ya mchezo tu kwasababu ubora wake ulionekana ila hali ya mchezo kitimu haikua upande wao.
 
Ana uzoefu wa kufundisha timu za vijana Sasa huku hapamfai ndio maana anaanza na Zuberi Foba anaacha Makipa wazoefu benchi....Hadi pre season alikuwa Ana muanzisha yule dogo halafu hamna kitu.....makosa mengi kafanya amabayo yangezaa magoli matatu kipindi Cha kwanza lakini kocha hashtuki Kama sio upumbavu Ni Nini,Azam bado Sana kuipandisha thamani ya jezi yao.

Angalia Simba Yanga wako serious Sana kuanzia makocha,wachezaji mpaka viongozi wanajua Kuna kitu tunadaiwa Ila sio Azam Kuna watu tunataka mabadiliko ya Soka lakini wanatuvunja moyo.

Kuna timu hazijiwezi kiuchumi Ila huwa zinapiga soka la kufa na kupona Ila sio Azam hii,mbwe mbwe nyingi uwanjani zero...Dabo aliingia na hofu ndio maana akapanga kikosi kile yule Manyama,Lusajo,Kheri Ni ma fullbeki unaenda kuwapanga mabeki wa Kati!!!

Azam Kuna wachezaji wazuri Tatizo Ni Kocha...ndio maana aliamua wasusie mechi Tunisia kuogopa kufungwa nyingi,pale hakuna kocha.
Nakubaliana na wewe azam inakosa mashabiki kwa aina ya uendeshaji wao

Nilipoona tu Dabo ndio kocha mkuu, nikasoma ile CV yake, nikasema ngoja nione labda ni Aliou Cisse mdg
 
AZAM awajawai kuwa serious na milele awatoweza kuwa serious mchezaji yeyote anayetaka mafanikio hawezi kwenda Azam ile ni timu ya kukuzia vipaji tu..yani ni kama Southampton ya bongo makosa wanayoyafanya mabeki wa azam ata kwenye Ndondo Cup ayawezi kutokea..
 
Nataka mshahara kama wa Azizi KI, mwenzio dk 20 zimetosha kuamua mechi, Wewe dk 90 zote unaruka ruka kiwanjani!

Kuna msemo wa wahenga usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa

Future yako iko rehani, huko uliko hakuna mashabiki wa kukusifia kama ilivyokuwa ukiwa Yanga, kiuhalisia hukuwa na maajabu😄
Fei Toto hana maajabu kabisa, jambo hili limedhihirika wazi
 
Back
Top Bottom