Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari za wakati huu.
Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025.
Young Africans aliibuka mshindi dhidi ya Azam Fc wa kombe la CRDB Bank Federation Cup 2023/2024 kwa mikwaju ya penalty.
Sasa turudi kwa kijana aliyeimbwa vyema sana pale Jangwani Feisal Salum "Feitoto" jana baada ya kupiga penalty yake ya kiufundi na kukusanya uwanja wote tukae kimya.
Ukweli ni kwamba Feitoto ulitupatia sana kutunyamazisha na kutufumba mdomo na tuliumia sana kwa kile kitendo cha kutunyamazisha namna Ile, sasa ukatukumbusha kubana kegel zetu vyema mashabaki wa Dar Young Africans mabingwa wa kihistoria 30 times.
Sasa tunakuuliza KIKO WAPI? Ndugu yetu Feisal Salum "Feitoto".
Maana Wana Dar Young Africans hadi sasa tumenyamaza toka utunyamazishe siku ya jana ila swali ni lile lile KIKO WAPI? Ndugu yetu Feisal Salum "Feitoto".
KIKO WAPI? Hadi muda wa kuvaa medali ndugu yetu Feisal Salum "Feitoto" ulitukimbia hukutaka kuvaa medali mbele ya watu uliowafumba mdomo.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu