Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #21
Kuna mengi inabidi ajifunzeTena kalikua kanatuambia tunyamaze kijeuri sana..
Kakasahau kwamba sherehe ya tumbili hua haidumu labda manyani au mbwa wawe mbali..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mengi inabidi ajifunzeTena kalikua kanatuambia tunyamaze kijeuri sana..
Kakasahau kwamba sherehe ya tumbili hua haidumu labda manyani au mbwa wawe mbali..
"Mwenye Meno akicheka, Mwenye Mapengo Huudhika "MKIMCHANGIA KUMSUTA MTAMUUA. MWACHIE MWENZIO AMSUTE...WEWE MCHAGUE MWINGINE. WANAWAKE KAZI SANA. NINYI????????????????????? HAAAH......MMESHINDIKANA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadija Kopa fc , kwa vichambo tu hamjambo.
Unataka uanze kunisuta na mimi? I dont care.Mkuu umemaliza kutuonesha upumbafu wako?
Kabisa...."Mwenye Meno akicheka, Mwenye Mapengo Huudhika "
Dogo Aache kuzingua banaaa!