Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG.
Sasa watanzania tunaomba AG atutajie mikataba ambayo nchi iliingia bila ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa.