Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Itakuwa wakati wa Mwendazake maana Mwendazake alikuwa kila kitu aliwahi KuagizaNimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG.
Sasa watanzania tunaomba AG atutajie mikataba ambayo nchi iliingia bila ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa.
Wewe Makonda usiache kwenda kumsalimia Ole Sabaya Gerezani.Makamba alisaini mkataba wa mabilioni na wahindi bila kumshirikisha mwanasheria mkuu.
[emoji38][emoji38][emoji38]Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG.
Sasa watanzania tunaomba AG atutajie mikataba ambayo nchi iliingia bila ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa.
Naunga mkono hojaNimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG.
Sasa watanzania tunaomba AG atutajie mikataba ambayo nchi iliingia bila ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa.
Wewe Stroke wasema hivi?Ule mkataba wa kushoot royal tour ulipitia kwa Mwanasheria mkuu wa serikali??
Akili za kushoto zimeanza kumrudia labda, zikirudi na za kulia unaweza kukuta kadi ya kijani kwenye pipa lake. Tusubiri kwanza.Wewe Stroke wasema hivi?
Wanasheria wote wa umma saizi wako chini ya AG, hiyo mikataba ya makaravati unayoisema lazima Mwanasheria wa halmashauri husika ahusike, Mwanasheria huyo yuko chini ya AG kwa sasa.kwa mujibu wa sheria mikataba ambayo inapaswa kwenda kwa Mwanasheria mkuu ni ili yenye thamani ya kuanzia TZS 1B. Chini ya hapo maafisa masuhuli wanaweza ku saini bila kupeleka kwa mwanasheria.
Mwanasheria mkuu hana uwezo wa kupitia mikata yote ya nchii kuanzia ya ununuzi wa stationery na ukarabati wa makaravati. Ni mingi mnoooo.
Pia mwanasheria huwa anatoa legal advice kwenye vipengele vichache tu vya kisheria na mara nyingi legal advice zao ni nyepesi kama pamba. Hawezi kubaini kama mkataba ni wa kipigaji au la kwa sababu hana technical capacity ya kujua mambo yote ya kitaalamu kwenye mkataba.
Hapa pagumu sana...Sasa watanzania tunaomba AG atutajie mikataba ambayo nchi iliingia bila ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa.
Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.