OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Bora umekuwa ukweli.hatakama naipenda ccm ila hapa tumefeli sana
Propaganda zenu hapo ndo mtaumbukaaa. Hizo kula feki mlizikamata kwa nani, na baada ya kumkamata huyo mlimfikisha wapi?Eti leta uthibitisho wakati yeye mwenyewe anajua vizuri hakumshinda Sugu kihalali, hao wote ni wasanii katika jumba la sanaa.
Ruzuku itokanayo na uwepo wao iko inakilea chama chakoo.Wameambiana kuwa wakianzisha hizo episode ndio watapata mvuto. Kumbe tumeshawapotezea muda tu.