Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Watakao itizama hiyo channel ni wafuasi wao ambao walishangilia jinsi walivyo fanya ujangili wa kisiasaIli pia kusaidia channel 10 yao inayoonyesha live hilo bunge ipate viewers.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakao itizama hiyo channel ni wafuasi wao ambao walishangilia jinsi walivyo fanya ujangili wa kisiasaIli pia kusaidia channel 10 yao inayoonyesha live hilo bunge ipate viewers.
Umeonaeee?Hio ni kamati ya Ccm,
Mkuu nakushukuru kwa kuliona hilo. Ndugai alitaka kuwahadaa nchi Wahisani wanaotoa fedha zao kwajili ya kukuza Demokrasia waendelee kufanya hivyo.Mkuu 'tindo', nilikuwazia nilipobandika maoni yangu hapo juu kabla ya kukusoma hapa.
"'Episodes"' za namna hii zinaweza kufikirisha kidogo hasa kama zitaendelea hivi hivi hadi hao tunaodhani ni 'sponsors' wa hawa wabunge wakiamua kuchoka nazo na kuamua kuwafanya hawa wabunge kama walivyokuwa wakiwafanyia akina Mbowe, Sugu, Henche na wengine.
Hali ikifikia huko, nitaamini kwamba CHADEMA kweli wanajua kuchanga karata zao.
Sasa hapo sijui akina Halima na wenzie tutawaangalia vipi sisi tulio/tunao apa juu ya usaliti wao!
Hivi umekwishalifikiri hili kwa upana wake?
'Anyway', bado siamini kuwa CHADEMA kama chama wanaouwezo wa kusuka mpango kama huo.
Hivi yule kichaa 'Dugai' ikifika huko ataanza kuwafukuza na kutumia sababu ya kutotambuliwa na chama chao? Kuwa walifukuzwa? Kwa huyo kufanya uamzi kama huo sishangai, kwa sababu ni kichaa.
Mbona nimesikia wapinzani hamfuatilii kikao cha CCM Kinachoendelea Dodoma.Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.
Felister ametakiwa kupeleka uthibitisho huo na naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson leo Jumatano Februari 3, 2021 kutokana na kauli yake hiyo aliyoitoa bungeni wakati akichangia hotuba ya Rais John Magufuli ya ufunguzi wa Bunge la 12.
My Take
CCM wamepita kwa wizi wa kura, Covid19 wamepita kwa wizi wa vifungu vya katiba. Ngoma droo
Hayo maswali si ya mahakamani,ni yako tu.Propaganda zenu hapo ndo mtaumbukaaa. Hizo kula feki mlizikamata kwa nani, na baada ya kumkamata huyo mlimfikisha wapi?
Najua ubovu wa mihimili hii miwili Mahakama na Bunge; lakini sikujua kwamba pamoja na ubovu ule "Mahakama wanaweza kuamuru wanachama waliofukuzwa ndani ya chama warudishwe"?Kwa vyo vyote vile maamuzi ya chama yako wazi. Walishatimuliwa hivyo wataakimbilia Mahakamani. Mahakama itaweka zuio la muda.
Waliomo nchini wanazihitaji sana hizo sala, pengine zaidi ya wale walio nje.Mwisho nitoe rai kwa Wapenda Demokrasia ya kweli na Wenye Mapenzi mema na Nchi yetu tuendelee kuwaombea afya njema Wapambanaji wetu walioko Nje ya Nchi. Mh Lissu na Mh Lema kwa uchache na Wengineo yaani Makamanda Wetu wote.
Na zile mlizo choma jumla ilikuwa kiasi ganii??Hayo maswali si ya mahakamani,ni yako tu.
Yaah! Wanajaribu kuchezea akili za watanzania hawa Covid-19 kwa hisani ya jiwe na ndugaiMaigizo tu hayo!!
Kama alizikamata ina maana anazoPropaganda zenu hapo ndo mtaumbukaaa. Hizo kula feki mlizikamata kwa nani, na baada ya kumkamata huyo mlimfikisha wapi?
Big No kwa huu mtazamo wako. Sheria na taratibu walizojiwekea kwenye taasisi yao lazima ziheshimiwe na zifuatwe na kila mmoja, kitendo cha wao kupuuza maazimio ya KK ya chama chao na kukimbilia bungeni tena bila kufuata taratibu husika hakiwezi kuvumiliwa eti tu kwasababu wanaonekana wako "active" ndani ya bunge, hao lazima waadhibiwe kwa ukaidi walioufanya bila kujali nini wanakisema au kukifanya sasa hivi wakiwa bungeni, full stop.Mkuu 'tindo', nilikuwazia nilipobandika maoni yangu hapo juu kabla ya kukusoma hapa.
"'Episodes"' za namna hii zinaweza kufikirisha kidogo hasa kama zitaendelea hivi hivi hadi hao tunaodhani ni 'sponsors' wa hawa wabunge wakiamua kuchoka nazo na kuamua kuwafanya hawa wabunge kama walivyokuwa wakiwafanyia akina Mbowe, Sugu, Henche na wengine.
Hali ikifikia huko, nitaamini kwamba CHADEMA kweli wanajua kuchanga karata zao.
Sasa hapo sijui akina Halima na wenzie tutawaangalia vipi sisi tulio/tunao apa juu ya usaliti wao!
Hivi umekwishalifikiri hili kwa upana wake?
'Anyway', bado siamini kuwa CHADEMA kama chama wanaouwezo wa kusuka mpango kama huo.
Hivi yule kichaa 'Dugai' ikifika huko ataanza kuwafukuza na kutumia sababu ya kutotambuliwa na chama chao? Kuwa walifukuzwa? Kwa huyo kufanya uamzi kama huo sishangai, kwa sababu ni kichaa.
Haaaaa haaaa. Alizikamata kwa nani bwaasheeee, ataambiwa aje na huyo aliemkuta nazoooKama alizikamata ina maana anazo
Well noted MKUUWameambiana kuwa wakianzisha hizo episode ndio watapata mvuto. Kumbe tumeshawapotezea muda tu.
Lakini hujaambiwa upambane na njaa yako kwa hila, pambana kwa halali ata dini yetu inatufundisha hivyo.Kuvumilia njaa ni kazi kubwa sana, hata wanaume wanashindwa.
Sitaki ugomvi na jirani yangu kijijini, lakini Mbowe anaweza kukushauri kwa suala la kuvumilia njaa.
Nitakataa vipi haya uliyoandika hapa mkuu wangu 'denooJ'.Big No kwa huu mtazamo wako. Sheria na taratibu walizojiwekea kwenye taasisi yao lazima ziheshimiwe na zifuatwe na kila mmoja, kitendo cha wao kupuuza maazimio ya KK ya chama chao na kukimbilia bungeni tena bila kufuata taratibu husika hakiwezi kuvumiliwa eti tu kwasababu wanaonekana wako "active" ndani ya bunge, hao lazima waadhibiwe kwa ukaidi walioufanya bila kujali nini wanakisema au kukifanya sasa hivi wakiwa bungeni, full stop.
Soma hii ewe taga la CCM.....!!Haaaaa haaaa. Alizikamata kwa nani bwaasheeee, ataambiwa aje na huyo aliemkuta nazooo
Wahuni wanatakiwa kubanwa wanataka kufanya bunge kama ukumbi wa twitter kutoa vitu vya uzushi visivyo na ushahidi!
Waaaache propaganda, walikamata hayo mabegi kutoka kwa nani? Na baada ya kumkamata walilipotisha kituo gani cha polisiii?