Felix Makene Afariki Dunia!

Nimepokea taarifa hizi kwa majonzi makubwa-Kwa Familia ya Chambi/Makene Please accept my sincere Condolesences.

Sio mda mrefu toka tuanze Libeneke. Ewe mwenye roho,Nakukumbuka! Mapambano yanaendelea-unakumbuka Felix na wana libeneke wengine mliponiita mwanamageuzi? Huo ndio ulikuwa mwanzo-tutaendeleza ulipoacha, wasalimie wengine waliotuanza kwani na sisi tukiitwa tutajumuika-Mungu akulaze pema peponi.

Sito sahau-Felix moyo wako wa urafiki wa kweli, kujali, hekima na upendo,usio na kinyodo-Umejazwa na roho mtakatifu. Umejazwa, kwani sio tu ulimkaribisha kila mtu bila kikwazo moyoni mwako bali rohoni mwako! REST IN PEACE MY BROTHER REST IN PEACE.

ATANAYE KIJIKO
 
Tangulia Felix nasi tupo nyuma yako. Ingawa sijawahi kukutana nawe, vilio ulivyoacha vinazungumza kwa niaba yako kuwa ulikuwa ni mtu wa aina gani. Mwingi wa ucheshi, mwepesi wa msaada na rafiki wa kweli wengi. Naamini Baraka atafuata nyayo zako, na Maryam mkeo atayakabiri machungu haya kwa machungu mengi, lakini mwisho tunamtakia kila kheri na maombi yamfikie ili apite katika kipindi hiki kigumu kwake yeye, Baraka na familia yote kwa ujumla, RIP Felix Makene.
 
Pumzika mahala pema peponi, Mod mimi nadhani tupewe ID yake aliyoitumia enzi za uhai wake ili tuweze kufanyia references kwa yale aliyoyaandika kama heshima yake. Samahani kama kufanya hivyo ni kinyume na taratibu za JF.
 
Yaani mwenzenu I'm gasping for air here.. kwani kuna watu kadhaa ambao nimetokea kufahamiana nao kutoka Houston ambao ni memba hapa. Ni mmoja tu ambaye hadi sasa nimempm na hajajibu ingawa anaonekana yuko logged on kwenye mada fulani.

Yaani I'm extremely anxions naogopa hata kupiga simu..
 
Upumzike kwa AMANI kaka Felix, you will be missed. Pole sana dada Maryam na mtoto Baraka, Mungu atawapa nguvu za kukikabili kipindi hiki kigumu.
Tuombeane na zaidi tusisahau kufarijiana kwa upendo, Poleni wote mlioguswa na msiba huu.
 
Ndugu Jamaa na marafiki poleni, wapiganaji wa JamboForums...Poleni kwani imeelezwa kuwa alikuwa mwenzetu hapa ingawa ID yake bado hatujaifahamu!!!
 
Poleni sana memberz wa 331, mama Mchuma,Anold, Jovin, Mchuma, Fred.....mke, mtoto na Familia yote kwa ujumla.....wazee wa St.Louis,Mo na Houston,TX poleni sana, tupo pamoja ktk maombolezi haya. RIP kaka Felix.
 

I have an idea who it might be...
 
Kwa niaba ya JF na wengineo ambao hatukuweza kufahamu kwamba marehemu Felix Makene alikuwa mchangiaji hapa napenda kutoa rambi rambi za dhati kwa Familia yake na mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.


NB: Sina ID yake, hakuna anayeweza kujua hiyo labda kama yeye mwenyewe alimtaarifu Admin, lakini ni vigumu kwani hakuna JF member anayefanya hivyo, wachache sana wanaeleza jamaa zao.
 
Masatu,
No way. We know Hasara. Mugongo Mugongo kachukua cheo Ikulu ndo maana siku hizi hasikiki.
 




Akaunti maalumu ya msiba wa Felix Makene

BANK: Washington Mutual Bank
NAME: Jadi malumbo
ACCT #: 4213965100
ROUTING#: 111993776
BANK ADDRESS
10850 Bellaire BlvdHouston, TX, 77072281.498.2233

Please call any of the people below with questions.
Miraji Malewa 832 741 4452
Nuru Mazola 832 630 8090
Anita Massawe 832 721 3832
Rosemary Mlekwa 832 867 2140
Muddy Chamshama 713 203 4629
Jadi Malumbo 713 419 6803
Karim Faraji 713 702 9050
 



Nadhani namfanisha marehemu ni mtu niliwahi kumuona mahali(probably Mlimani). Once again Nakutakia mapumziko mema kwa mola wako aliyekupenda zaidi. RIP Felix, Amen
 
Bow,
sorry, nadhani umemfananisha......marahemu hakusoma mlimani!!.
 
Jamani , inatosha naona sasa mnataka kuivua nguo maiti!...kumbukeni ana ndugu huyu marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…