ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
The New York Times imeripoti kuwa Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma wanajeshi kupambana na waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda.
DR Congo 🇨🇩 ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, ikiwa msambazaji mkuu wa coltan inayotumika kutengeneza simu za mkononi na ikiwa na zaidi ya nusu ya akiba ya cobalt duniani, madini muhimu kwa utengenezaji wa magari ya umeme.
My Take
Huyu Kibaraka Aliyekulia Belgium hafai kuendelea kuwa Rais 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGc07pIs0Ih/?igsh=MTU5Y3Y1Y2wwMWtmdw==