Felix Tchisekedi Amshawishi Trump Atume Majeshi Kukabiliana na M23 Kwa malipo ya Kumpa Migodi.

Felix Tchisekedi Amshawishi Trump Atume Majeshi Kukabiliana na M23 Kwa malipo ya Kumpa Migodi.

Kwani wanyarwanda wanampoelekea nani, si huyohuyo, hamna deal hapo
Deal ni kwamba hiyo migodi itakuwa ikimilikiwa na US direct, makampuni yao ndiyo yatachimba na kipatikatikanacho kitakuwa mali yao 100% bila obligations in exchange of defending the DRC.
Kwa kifupi Tshisekedi anataka kumilikisha migodi ya DRC kwa USA ili walindwe(literally ni kwamba anataka utawala wake ulindwe kwa gharama kumilikisha migodi kwa Marekani).
Ni kama kuigawa nchi kwa Marekani yaani indirectly anaomba nchi imilikiwe na Marekani naye awe rais(just a puppet) atakayekuwa akipokea amri na maelekezo kadri itakavyokuwa ikiinufaisha Marekani.
 
The New York Times imeripoti kuwa Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma wanajeshi kupambana na waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda.

DR Congo 🇨🇩 ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, ikiwa msambazaji mkuu wa coltan inayotumika kutengeneza simu za mkononi na ikiwa na zaidi ya nusu ya akiba ya cobalt duniani, madini muhimu kwa utengenezaji wa magari ya umeme.

My Take
Huyu Kibaraka Aliyekulia Belgium hafai kuendelea kuwa Rais 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGc07pIs0Ih/?igsh=MTU5Y3Y1Y2wwMWtmdw==

View attachment 3247525

Looh! Maskini!!

"Let us all agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
The New York Times imeripoti kuwa Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma wanajeshi kupambana na waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda.

DR Congo 🇨🇩 ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, ikiwa msambazaji mkuu wa coltan inayotumika kutengeneza simu za mkononi na ikiwa na zaidi ya nusu ya akiba ya cobalt duniani, madini muhimu kwa utengenezaji wa magari ya umeme.

My Take
Huyu Kibaraka Aliyekulia Belgium hafai kuendelea kuwa Rais 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGc07pIs0Ih/?igsh=MTU5Y3Y1Y2wwMWtmdw==

View attachment 3247525

Masikini Felix....
 
Back
Top Bottom