Huyu ndiye amechanganyikiwa kabisa! Yaani uko tayari kuuza nchi kwa ajili ya kupambana na M23?
Anapambania tumbo lake kwa sababu mwisho wa siku anaona atalambishwa vumbi kwa hiyo anatapatapaHuyu ndiye amechanganyikiwa kabisa! Yaani uko tayari kuuza nchi kwa ajili ya kupambana na M23?
Deal ni kwamba hiyo migodi itakuwa ikimilikiwa na US direct, makampuni yao ndiyo yatachimba na kipatikatikanacho kitakuwa mali yao 100% bila obligations in exchange of defending the DRC.Kwani wanyarwanda wanampoelekea nani, si huyohuyo, hamna deal hapo
Wabongo watamsaidia nini wakati nao wana-survive kwa kusaidiwa.Hiyo migodi si bora angewapa wabongo tu
Looh! Maskini!!The New York Times imeripoti kuwa Rais FΓ©lix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo π¨π© ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma wanajeshi kupambana na waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda.
DR Congo π¨π© ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, ikiwa msambazaji mkuu wa coltan inayotumika kutengeneza simu za mkononi na ikiwa na zaidi ya nusu ya akiba ya cobalt duniani, madini muhimu kwa utengenezaji wa magari ya umeme.
My Take
Huyu Kibaraka Aliyekulia Belgium hafai kuendelea kuwa Rais ππ
View: https://www.instagram.com/p/DGc07pIs0Ih/?igsh=MTU5Y3Y1Y2wwMWtmdw==
View attachment 3247525
Wamegawiwa Waarabu, same thing na anachotaka kufanya Tshisekedi kuwagawia Wamarekani migodi.Kwani wewe unaona Bandari na Madini vinafanyiwa nini?
Waarabu wamegawiwa Ili sisi tupate nini maana DRC watalindwa wakigawa migodi.Wamegawiwa Waarabu, same thing na anachotaka kufanya Tshisekedi kuwagawia Wamarekani migodi.
Anaona zinanunulia V8 na kuliwa kulingana na urefu wa kamba za walaji.Pesa za kufanyia maendeleo,TUNAKOPA.Kwani wewe unaona Bandari na Madini vinafanyiwa nini?
Waarabu wamegawiwa kwa faida ya baadhi ya viongozi, wananchi wengine na nchi kwa ujumla hawana faida yoyote waipatayo.Waarabu wamegawiwa Ili sisi tupate nini maana DRC watalindwa wakigawa migodi.
Masikini Felix....The New York Times imeripoti kuwa Rais FΓ©lix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo π¨π© ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma wanajeshi kupambana na waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda.
DR Congo π¨π© ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, ikiwa msambazaji mkuu wa coltan inayotumika kutengeneza simu za mkononi na ikiwa na zaidi ya nusu ya akiba ya cobalt duniani, madini muhimu kwa utengenezaji wa magari ya umeme.
My Take
Huyu Kibaraka Aliyekulia Belgium hafai kuendelea kuwa Rais ππ
View: https://www.instagram.com/p/DGc07pIs0Ih/?igsh=MTU5Y3Y1Y2wwMWtmdw==
View attachment 3247525
Tuseme Kabila yupo upande wa m23Hata mimi nashangaa akitupa TZ tunaingiza JWTZ wanamaliza kazi tu muda mfupi.
Kama Tshseked hatuamini hata sisi TZ tutoe majeshi yetu huko.
Wabongo ndo wanajua kuendesha migodi sio?Hiyo migodi si bora angewapa wabongo tu