Félix Tshisekedi

Félix Tshisekedi

Tutamkaribisha kwa moyo mkunjufu afu tuifikishe SGR Congo.
 
@Huyo bichwa maji kaitwa mpuuzi kwa mambo yafatayo

@Kuwasaliti upinzani wenzake

Kuwa kibaraka wa kabila(hakuna asiyejua sio mshindi halali)

@
Kituko zaidi ni kuwalipa mawaziri wa kabila mpaka kifo chao aliakuwa nchi yenyewe ni maskini

Ingekuwa kawatembelea nyinyi wa kwanza angeitwa Messiah ila kwa kuwa anakanyaga kenya bila kutua Tz ndo kaitwa mpuuzi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kupeleka kdf Somalia kumeanza kulipa now kenya wameanza kupata ushawishi sasa wamepata bahati ya raisi mpuuzi zaidi wa drc

Sent using Jamii Forums mobile app
Buda if ******** hapendi kenya ni yy pekee we got many head of states wenye wanapenda kenya Kuanzia rwanda to Ethiopia n btw mbna asikuje huku na tumeweka watu wengi wa congo huku wenye walikimbia kwao juu ya violence hata ka hawatusaidii kiuchumii tunawapenda tu wakiwa ma refugees

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shape of things to come as we spread our influence by bagging the largest country in SADC and whole of SSA, actually second in Africa.
Analysis ndogo kama hii hamwezi solve mlienda shule kufanya nini??????
-kila mtu duniani anajua mshind wa uchaguzii ni Fayulu na siyo Tshishekedi for 62 percent
-Kabila amelazimisha Tsishekedi awe raisi wa DRC hili abaki DRC bila kesi yoyote na usumbufu toka kwa maadui zake wafuatao waliom sponsor Fayulu ili awe raisi:
1.Moise Katumbi Chapwe .
aliyekuwa gavana wa jimbo la Katanga ambaye alibambikizwa kesi na Kabila na kulazimishwa kukimbia DRC.Huyu ni mtu anayekubalika DRC na mliliki wa timu ya T.P .MZEMBE, na mgodi uliokuwa ukiitwa MSK.
-2Jean Pierre Bemba.
Huyu ni mtu toka north west jimbo la Equateur home boy wa Mobutu Seseseko mwenye nguvu west DRC aliyemsumbua Kabila uchaguzi wa 2006 na kutafutiwa kesi iliyomfunga ICC Holland na automatic kutokidhi matakwa ya tume ya uchagu(CENI).
Conclusion:
Kwakuwa kila mtu anajua raisi mpya ni pandikizi la Kabila isingekuwa vyema atembelee mara moja Tanzania ambayo ni second home ya Kabila alikoishi na kusomea mpaka kuondoka kwenda vita ya kumtoa Mobutu.Hii ingedhiilisha ukweli moja kwa moja kuwa yeye ni kibaraka wa kabila
 
Hayo hayatuhusu, watajuana wenyewe, sisi tupo kimaslahi zaidi, tunachangamkia fursa za biashara.
 
Back
Top Bottom