Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Mh Felix Tshisekedi amesema yupo tayari kufanya biashara halali ya madini moja kwa moja kutoka DRC na Marekani, Tshisekedi amesema DRC ndio mmiliki wa madini hayo kuliko kuyapata kwa tabu na ulanguzi kutoka Rwanda, aidha, Tshisekedi ametoa wito kwa jumuiya ya ulaya kufanya baishara halali yenye maslahi mazuri pande zote na nchi ya Congo.