T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kwenye suala la Boko Haram, hilo ni kundi la kigaidi. Magaidi wanaweza sumbua nchi yoyote ile unayoijua duniani.Chadians wanaosumbuliwa na Boko Haram?! Na wamezoea Vita za Jangwani huko kwenye misitu ya Kongo na wao watatoka baruti tu.
Kwenye suala la jangwani VS msituni uko sahihi.